Mara nyingi zinakuwa ni dalili za hypertesion (pressure ya juu) au kisukari. Muone dactari atakushauri. Lakini pia wasisahau kunywa maji kwa wingi, wapunguze au waache kabisa kula nyama nyekundu (ya ngo'mbe, mbuzi n.k), wapunguze kula chumvi nyingi na mambo mengine kama hayo.
watafutie:
asali,
mdalasini /unga wa mlonge
kiwe ndo kinywaji chao kila siku, watapata nafuu kubwa sana kama siyo kupona kabisa.