msaada mwenye waraka kuhusu categorization

Jitelani

Member
Mar 18, 2012
14
4
naomba msaada mwenye waraka wa unaohusu categorization nina shahada ya elimu halafu nina MBA yaani master of business administration,wamezingua kunibadilishia kada niliomba kufanya kazi kama afisa biashara ndani ya wilaya,wakasema categorization ni kwa BACHELOR tu na si MASTERZ
 
Back
Top Bottom