MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,756
- 6,674
HTC sijawahi ichukia hata siku moja. Mimi ni mpenzi wa HTC sana. Cjawahi nunua simu tofauti na HTC
Kwa sasa natumia HTC desire 820s dual SIM, ni simu moja makini sana. Camera zake ni kiboko na ina uwezo wa 4G. Ina mambo mengi mengi kiasi kwamba sitaweza kuyaelezea yote.
Pamoja na kuisifia koote subiri nielezee matatizo nayoyaona kwenye hii simu na kama kuna mtaalamu naombeni anisaidie mawazo
1: hii simu bana, kuna kipindi ikifika inaji-restart yenyewe tu bila hata kuiamuru kufanya hivyo, na mara nyingi hufanya hivyo nkiwa nimeiweka juu ya kitu chenye tabia ya metal (chuma) nkiiweka hapo lazima itajiristart tu
2: Default camera yake inakula chaji kuliko hata ukiwa umewasha data. Data haimalizi sana chaji.
3: kuna kipindi inafika inaniambia ni-download system update, lakini nkishamaliza kuzidownload, inarestart na zinaanza kuingia, wakati zinaanza kuingia ile progress bar inasogea kidogo tu halafu panatokea pembe tatu flani hivi yenye alama ya mshangao(!) ndani yake ikiwa inamaanisha kuna errors flani. Na ikishafika hapo haiendelei tena na inakaa mda kidogo inawaka na naendelea kuitumia kama kawaida.
Tatizo nililoliona kwenye hii simu ni jinsi inavyorestart yenyewe tu. Ila ni nzuri sana
Kama una mpango wa kuinunua hii HTC desire jaribu kuwa makini kidogo