stonekj
Member
- Feb 15, 2017
- 17
- 6
Habari za jumatatu wakuu,
Nina mpango wa kununua simu ya HTC baada ya Samsung J7 yangu kupotea. Lakini sina uzoefu kabisa juu ya ubora wa hizi simu na na hata jinsi zinavoendesha application zake mana sijawahi kuzitumia na hata sina mtu wa karibu anaezitumia.
Ninaomba kubadilishana uzoefu na watumiaji wa hizi simu hasa htc one na desire. kabla sijafanya maamuzi ya kununua mana nimeridhika na specifications zake japo ubora na utendaji kazi ndo sijui kabisa.
Ninaomba kubadlisha uzoefu, maoni na ushauri juu ya hili.
Asanteni