Msaada: Mwenye ujanja wa kuangalia youtube Bure masaa 24

mandella

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
3,048
3,227
Aisee nimekumbuka, kipindi tupo masomoni miaka kadhaa nyuma kuna jamaa walitupatia code fulani hivi nadhani ulikua unaanza http....na mbele kukawa na maneno kadha kisha unaweka kwnye link search pale ya youtube mzigo unaonekana buree kabisa ..

Tulitimia kwa muda mrefu sana, sasa sikumbuki iliishia wapi ila more than a year nakumbuka tulifanikiwa kuangalia chochote kwa muda wowte kupitia yoytube.

JF najua hapokosekani kitu.

Mwenye ule ujanja please tukumbushane hapa...

Ahsante
 
Nikajua Kuna mtandao umetoa ofa ya kuperuzi mtandao tajwa bure kwa muda wa masaa 24.
 
Zilipendwa,😆😆😆
Sa hivi hata ikiwepo itakuwa kimyakimya,,ma snitch walikuwa wengi enzi zile na isitoshe siku hizi mitandao ya simu wameongeza security zao
 
Zinaitwa proxy server (unblock youtube) bado zipo hadi leo sema hazipigi mzigo tena maana uchochoro uliokuwa ukitumika kuvujisha port 80 na 8080 ulishazibwa na watoa huduma so menyeka tu kununua bundle au jiunge night offer za halotel na toboa tobo ya ttcl.
Au mcheck the great wizard akuuzie YF kitu cha konokoño but utastream youtube 144-360P.
Umejibu vyema zana..nashukuru ..Fanyeni basi Mautundu tupate Port nyingine
 
Acheni kuteleza kwenye ganda la ndizi mkiwa mnaangalia bure mtamkosesha mapato Google/Youtube/Facebook/WhatsApp.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom