Msaada:mwenye uelewa juu ya solar

Samahani nidandie hapa! Panel 3 za watt 100 zinatosha kuzalisha umeme wa kuendesha Friji ya umeme wa kawaida? na ntahitaji kuwa na betri ya saizi gani na inverter ya saizi gani pia?
 
Mkuu wiring imeshafanyika ya kawaida sasa sijajua kama itaendana na mfumo wa DC. Kwahiyo nilikuwa nafikiri itabakia AC.


Sent from my iPhone using JamiiForums

kama umesha fanya wiring ya kawaida ni vema ukaweka mfumo wa taa za dc utakusaidia hata ukiwa na umeme wa tanesco umeme kwa sababu taa za dc zinatumia umeme mdogo sana pia utakua na uhakika wa taa kuwaka zaidi ya 12hrs, km bajeti ndogo unaweza kutumia wiring iliyopo bt tafuta taa za ac 7wats and below, umeme utawaka na kwa vifaa vyako utapata umeme kwa 5hrs, sababu inveter inapofanya kazi yenyewe inatumia nguvu nyingi sana. ndo maana tunashauri itumiwe kwa tv na redio kwakua vifaa hivi havitumiki zaidi ya 6hrs
 


Kuubadili mfumo wa taa kutoka AC kwenda DC kutahitaji kifaa gani? Wire itabidi ubadilike? Nahitaji kujua hiyo gharama ya ziadi itakuwaje



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
ushanunua ndio waomba ushauri au? kia battery ikiwa kubwa ndio unapata storage kubwa. na utatumia muda mrefu usiku. ukiwa ushanunu battery waweza nunua nyengine kisha kuziunganisha in parallel. inverter chini ya watt 300 utijizingua mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…