Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,063 Reaction score 43,492 Jun 22, 2020 #21 pancho boy said: Nilipoistall ilikuwa hai show up nikiweka audio inaskika lakini huoni kitu even video mkuu Click to expand... Hizo ni drivers tu, ume update graphics drivers?
pancho boy said: Nilipoistall ilikuwa hai show up nikiweka audio inaskika lakini huoni kitu even video mkuu Click to expand... Hizo ni drivers tu, ume update graphics drivers?
Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 16,748 Reaction score 28,141 Jun 22, 2020 Thread starter #22 Chief-Mkwawa said: Hizo ni drivers tu, ume update graphics drivers? Click to expand... Bado almost drivers zote tu mkuu time na nikitafuta online sioni zenye specs kama mashine yangu sijui hata nifnyej
Chief-Mkwawa said: Hizo ni drivers tu, ume update graphics drivers? Click to expand... Bado almost drivers zote tu mkuu time na nikitafuta online sioni zenye specs kama mashine yangu sijui hata nifnyej
Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 16,748 Reaction score 28,141 Jun 22, 2020 Thread starter #23 Chief-Mkwawa said: Hizo ni drivers tu, ume update graphics drivers? Click to expand... Baada ya kupiga ile window saaa hata nikiconect na hotspot inakataa mkuu. Inasema enter security key
Chief-Mkwawa said: Hizo ni drivers tu, ume update graphics drivers? Click to expand... Baada ya kupiga ile window saaa hata nikiconect na hotspot inakataa mkuu. Inasema enter security key
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,063 Reaction score 43,492 Jun 22, 2020 #24 pancho boy said: Bado almost drivers zote tu mkuu time na nikitafuta online sioni zenye specs kama mashine yangu sijui hata nifnyej Click to expand... Eka specification za machine ama full name ya computer. Kupata specification nenda my computer kisha right click kisha properties Kwa full name ya computer angalia chini ama pembeni wanaaandika.
pancho boy said: Bado almost drivers zote tu mkuu time na nikitafuta online sioni zenye specs kama mashine yangu sijui hata nifnyej Click to expand... Eka specification za machine ama full name ya computer. Kupata specification nenda my computer kisha right click kisha properties Kwa full name ya computer angalia chini ama pembeni wanaaandika.
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,063 Reaction score 43,492 Jun 22, 2020 #25 pancho boy said: Baada ya kupiga ile window saaa hata nikiconect na hotspot inakataa mkuu. Inasema enter security key Click to expand... Security key unaipata kwenye kifaa unachotumia kutengenezea hotspot kama ni simu nenda setting kisha tafuta hotspot kisha chagua configure utaiona password
pancho boy said: Baada ya kupiga ile window saaa hata nikiconect na hotspot inakataa mkuu. Inasema enter security key Click to expand... Security key unaipata kwenye kifaa unachotumia kutengenezea hotspot kama ni simu nenda setting kisha tafuta hotspot kisha chagua configure utaiona password
Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 16,748 Reaction score 28,141 Jun 22, 2020 Thread starter #26 Chief-Mkwawa said: Security key unaipata kwenye kifaa unachotumia kutengenezea hotspot kama ni simu nenda setting kisha tafuta hotspot kisha chagua configure utaiona password Click to expand... Yeah nilizitolea hapo lakini kila nkiingiza inarudia tena hvo
Chief-Mkwawa said: Security key unaipata kwenye kifaa unachotumia kutengenezea hotspot kama ni simu nenda setting kisha tafuta hotspot kisha chagua configure utaiona password Click to expand... Yeah nilizitolea hapo lakini kila nkiingiza inarudia tena hvo
Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 16,748 Reaction score 28,141 Jun 22, 2020 Thread starter #27 Chief-Mkwawa said: Eka specification za machine ama full name ya computer. Kupata specification nenda my computer kisha right click kisha properties Kwa full name ya computer angalia chini ama pembeni wanaaandika. Click to expand... Dell. Intel(R)core(TM)DuoCPU T9400 @2.53GHz 2.54.GHz. 32 bit operating system
Chief-Mkwawa said: Eka specification za machine ama full name ya computer. Kupata specification nenda my computer kisha right click kisha properties Kwa full name ya computer angalia chini ama pembeni wanaaandika. Click to expand... Dell. Intel(R)core(TM)DuoCPU T9400 @2.53GHz 2.54.GHz. 32 bit operating system
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,063 Reaction score 43,492 Jun 22, 2020 #28 pancho boy said: Yeah nilizitolea hapo lakini kila nkiingiza inarudia tena hvo Click to expand... Hio ni case sensitive angalia kama kuna herufi kubwa na ndogo ama kama umewasha Caps lock kwenye computer na inaandika herufi kubwa tu.
pancho boy said: Yeah nilizitolea hapo lakini kila nkiingiza inarudia tena hvo Click to expand... Hio ni case sensitive angalia kama kuna herufi kubwa na ndogo ama kama umewasha Caps lock kwenye computer na inaandika herufi kubwa tu.
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,063 Reaction score 43,492 Jun 22, 2020 #29 pancho boy said: Dell. Intel(R)core(TM)DuoCPU T9400 @2.53GHz 2.54.GHz. 32 bit operating system Click to expand... Jaribu MPC-HC player nzuri sana kwa lowend pc https://github.com/mpc-hc/mpc-hc/releases/download/1.7.13/MPC-HC.1.7.13.x86.exe
pancho boy said: Dell. Intel(R)core(TM)DuoCPU T9400 @2.53GHz 2.54.GHz. 32 bit operating system Click to expand... Jaribu MPC-HC player nzuri sana kwa lowend pc https://github.com/mpc-hc/mpc-hc/releases/download/1.7.13/MPC-HC.1.7.13.x86.exe