MSAADA; Mwenye safari ya Mwanza-Tanga kati ya tarehe 16/06/2019 hadi 19/06/2019

Mr Confidential

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,492
2,357
Habari za saa wapendwa,

Husika na mada hapo juu, Kuna mzigo wangu (Academic letter) iko Mwanza (Nyamagana,Iseni), nahitaji kuisafirisha hadi Tanga (nilipo kwa sasa).

Nimeona kuwa kusafirisha kwa basi itanigharimu sanaa kwa sababu siko vizuri financially.

Hivyo basi ninaomba mwanajukwaa yeyote mwenye safari kutoka Mwanza hadi Tanga kati ya tarehe tajwa hapo juu anisaidie kuja na hiyo barua. Unaweza kuikagua kabla hujaichukua ili kujiridhisha .

Kama itashindikana, Basi nitaomba mwenye safari ya Mwanza-Moshi anisaidie.

Huu ni mwanzo wa urafiki na undugu, Sadaka ya Muda wako haitakua bure.

Msaada wenu wanajukwaa tafadhali
 
Muombe mtu wa Mwanza aiscan kisha akutumie kwa email, ikikufikia unaenda kuiprint stationery
 
Me pia naomba msaada wa kusafirisha Mzigo (academic materials) toka Arusha -shinyanga.Ni vichache tu.Nimeogopa safirisha Kwa bus vinaweza potea,ni bora viende na mtu.

Jamiiforum ni ya wanandugu
 
Kwa basi ni kubeti, afu stake ni maisha yako
Me pia naomba msaada wa kusafirisha Mzigo (academic materials) toka Arusha -shinyanga.Ni vichache tu.Nimeogopa safirisha Kwa bus vinaweza potea,ni bora viende na mtu.

Jamiiforum ni ya wanandugu
 
Posta watakupa utaratibu....ila anaetuma analipia kwa uzito wa kinachotumwa. Nadhani bahasha ya document chache mara ya mwisho nimetuma ilikua last December walinicharge tsh 12,000 sijui kama charges zimebadilika
Huh! Naanzaje kufanya hiyo kitu mkuu. Help me tafadhali
 
Posta watakupa utaratibu....ila anaetuma analipia kwa uzito wa kinachotumwa. Nadhani bahasha ya document chache mara ya mwisho nimetuma ilikua last December walinicharge tsh 12,000 sijui kama charges zimebadilika
Pia usisahau na kilometers
 
Back
Top Bottom