Mr Confidential
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,492
- 2,357
Habari za saa wapendwa,
Husika na mada hapo juu, Kuna mzigo wangu (Academic letter) iko Mwanza (Nyamagana,Iseni), nahitaji kuisafirisha hadi Tanga (nilipo kwa sasa).
Nimeona kuwa kusafirisha kwa basi itanigharimu sanaa kwa sababu siko vizuri financially.
Hivyo basi ninaomba mwanajukwaa yeyote mwenye safari kutoka Mwanza hadi Tanga kati ya tarehe tajwa hapo juu anisaidie kuja na hiyo barua. Unaweza kuikagua kabla hujaichukua ili kujiridhisha .
Kama itashindikana, Basi nitaomba mwenye safari ya Mwanza-Moshi anisaidie.
Huu ni mwanzo wa urafiki na undugu, Sadaka ya Muda wako haitakua bure.
Msaada wenu wanajukwaa tafadhali