mmmh zitafika kweli?Kwa niniusipeleke precision air ukalipa elfu kumi na docs zako zinafika Arusha bila shida
mmmh zitafika kweli?[/QUOT
For sure nawatumia sana kupeleka docs BK na Mwanza hali mradi awepo mtu wa kufuata ofisini kwao au unalipia zaidi kidogo wanakufikishia home.
Naombeni mwenye namba za magari ya magazeti kuna document muhimu sana jamani nataka ifike Arusha kesho