Msaada: Mwenye namba ya simu ya mh. Peter msigwa (mb-iringa)

Msaada: Mwenye namba ya simu ya mh. Peter msigwa (mb-iringa)

kuna watu wanajiita wachungaji kumbe ni wahuni tu!!!!!!!!!!!


Nathubutu kuamini kuwa akili yako haipo sawa.

Wewe ni jamii ya wale ambao km jf kungekuwa na test ya kupima uelewa kabla ya kujiunga, nina hakika ungeisikia jf bombani.

SIO MZIMA WEWE.
 
povu la nn mbona za spika na naibu wake mlizigawa kama mmelipwa.wapuuz nyie

Kijana chunga sana hata kama unatetea hizo buku saba za Lumumba lakini ustaarabu ni muhimu sana. Usifikiri hapo ulipo ndiyo umejificha sana hivyo unaweza kuporomosha matusi hovyo. Hata hao waliokutuma hawana udhubutu wa kuporomosha matusi kama ufanyavyo.
 
povu la nn mbona za spika na naibu wake mlizigawa kama mmelipwa.wapuuz nyie


Comrade, msaidie apate hiyo namba. Kama huna kaa kimya.
Hatujawasiliana toka uende bungeni. Vipi, umerudi? Kilichowapeleka mlifanikisha?
 
huyu mnae mwita mhuni sisi ndio kamanda wetu na mtajibeba....na muongee yote lakini msigwa ni jembe...na kazi mtaiona...
 
mhuni wa kawaida yule .....sitta

kuna watu wanajiita wachungaji kumbe ni wahuni tu!!!!!!!!!!!

ondoa neno mheshimiwa weka mhuni ndio tutakupa namba yake
hayo yamesemwa leo bungeni na mh sitta. na kwa namna moja ama nyingine yana ukweli..msigwa ni mhuni sio mchungaji.

yea, mana kuna wahuni wajanja lakini huyu ni mhuni wa kawaida ambaye hana lolote
Hili ndilo tatizo kubwa la Nape katibu mwenezi wa CCM! anaajiri watu wenye upeo mdogo mno wa kufikiri. Sasa kwa maandiko ya kipumbavu kama haya, nani mjinga anaweza kuvutiwa na Chama Cha Mapinduzi kwa propaganda za kichaa kama huyu? Jengeni hoja zenye nguvu na sio utoto kama huu, eboo!
 
mungu atakuadhibu unapomnyooshea mkono Mtumwa wake..mponde yeye kama yeye Msigwa ila Usihusishe na Kazi yake ya Bwana.Hakika wale wote waliomponda Msigwa kupitia Utumishi wa dini yake Watapigwa pigo takatifu.

Halafu Sitta ni Mlutheri tena mzee wa Kanisa. Kwa mantiki hii Msigwa ni kiongozi wake. Kweli sasa nakubali kuwa stress ni kitu kibaya. Mambo ya namna hii ndo yalimfika yule daktari wa moyo.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Sitta mwizi tuu anataka uraisi anachotaka jangili kinana ampe tafu kwa kumkandia mhe msigwa.kuna tuliombebea pembe na katurusha asitete ujinga.
 
mpuuzi huyu jamaa:website ya CDm inayo,ya binge ambayo ni official inayo.Au ndio uonekane una dili ya kuongea nao. WATU SIKIVU WANA SHIDA:Mbwembwe huwapa hasara sana.MLIMBEBA MBOWE KWA STYLE YA KUBEBA SI TUU KIONGOZI MKUBWA ILA SUPERSTAR WA VIONGOZI.Alipofika arusha akpata dhaman na kurudi Mjini.Sijui mlikuwa mnataka awahi fika ikulu?Mlidhani mnamdhalilisha kumbe mnamuinua kwa style ya iliyotukuka.Hata JK hamjawahi muenzi hivyo...kumpa coverage ya nchi nzima, na kupewa ndege maalumu yenye ulinzi na majeshi yote pamoja na usalama wa taifa,just aende iona mahakama ilivyo mbaya na kunywa chai arusha.
 
Jamani Sitta kamchoka sana Mchungaji Lwakatare na uhuni wake .Sitta alimaanisha Lwakatare ni muhuni kwa kuiba umeme , lakini pesa za watu anachukua mashuleni na kila Jpili .Ni muhuni anachukua pesa za walipa kodi naye anaenda kulala Bungeni kazi yake kusema ndiyooooooooooooooooo.Ni muhuni kwa kuwa anafungisha ndoa wakati yeye hajaolewa.Mie naona sawa tu lakini si Msigwa jembe na matumaini ya wana Iringa .
 
mtu kaomba namba mnaandika sijui nini, halafu wengi wenu mnajidai ni ma gt. mmmmmhhhhhhhh
 
Back
Top Bottom