Msaada mwenye kujua Bsc Business information systems | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada mwenye kujua Bsc Business information systems

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by dantes steven, Oct 3, 2012.

 1. d

  dantes steven Member

  #1
  Oct 3, 2012
  Joined: Aug 25, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naombeni msaaada wana jamvi tafadaharini nimechaguliwa hii course pale udom kuhusu upatikanaji wa ajira uko vipi na inahusu nini hasa,
   
 2. Root

  Root JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,261
  Likes Received: 12,979
  Trophy Points: 280
  Ushauri mzuri ni wewe soma the uanzishe hizo ajira kwa kujiajiri ili uwasaidie vijana wenzako

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 3. H

  HAMY-D JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,825
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  Wewe, hakuna degree isiyo na soko Tanzania, lakini kuna wahitimu wasio na soko.

  Soma kitu chochote unachokipenda, ulichopata fursa ya kukisoma na hata ambacho ulikuwa na ndoto nacho au hukuwa na ndoto nacho, jambo la msingi ujue vitu katika taaluma husika, swala la ajira wenda kwa kuajiriwa au kujiajiri litafanikiwa tu.
   
 4. d

  dantes steven Member

  #4
  Oct 3, 2012
  Joined: Aug 25, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimekuelewa mkuu maana niliomba na diploma ya umeme but nashukuru kwa ushauri ntaenda soma
   
 5. d

  dantes steven Member

  #5
  Oct 4, 2012
  Joined: Aug 25, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu napenda kujua kazi zake ni zipi?
   
 6. peri

  peri JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  mkuu hiyo bis imechanganya kozi za it na za biashara.
  Inatolewa udom tu na maranyingi inachukua watu wachache.
  Sio ngumu ila kwa mazingira ya cive *colleg ya udom utakayoenda kusoma* yana changamoto sana,
  disco ni za kumwaga, mfn mwaka jana watu 89 wali disco kati ya 1s to 2nd na 2nd to 3rd.
  Unahitaji ukasome sana.
  Kuhusu ajira usiwe na wasiwasi, ni wewe tu ufaulu vizuri na mambo uyajue.
   
 7. d

  dantes steven Member

  #7
  Oct 4, 2012
  Joined: Aug 25, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimekuelewa homy itabidi nikakazane nashukuru sana kwa ushauri wako
   
 8. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #8
  Oct 4, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  systems analyst, consultant - kwa tz inachukuliwa kimzaha mzaha lakini kwa nchi zilizoendelea ni lazima uwe na experience ya si chini ya miaka 10, ni lazima uwe na background nzuri ya business, technical and most of all huwa inasomwa at postgraduate level
   
 9. d

  dantes steven Member

  #9
  Oct 4, 2012
  Joined: Aug 25, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sijakuelewa vizuri hapo kiongozi naombba nieleweshe vizuri kwamba kwa Tz haina dili au ni vipi nielekeze vizuri maana unayomaanisha
   
 10. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #10
  Oct 4, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  hiyo imebase kwenye maswala ya uongozi wa IS kwahiyo ni ngumu sana kupata kazi au kujiajiri kwa fresh graduate labda upate kampuni za vichochoroni, first degree unatakiwa kuspecialize eneo moja lakini kwa hiyo course utakuwa unapapara kila mahali na mwisho wa siku utagraduate ukiwa mbovu kila angle
   
 11. d

  dantes steven Member

  #11
  Oct 4, 2012
  Joined: Aug 25, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo kwa ushauri wako mkuu maana niliomba na diploma ya umeme nikasome tu hiyo diploma au nakakomae nayo hiyo business informaxn system
   
 12. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #12
  Oct 4, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  kama utaweza kusoma BSc IT/CS general ni vizuri zaidi
   
 13. S

  Sine r Winters Senior Member

  #13
  Oct 4, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 116
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hapo mkuu nimekuxoma KABIXA NA NI KWELI
   
 14. K

  Kiparaa JF-Expert Member

  #14
  Oct 5, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 391
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  iko muccobs pia
   
 15. m

  miikky Member

  #15
  Oct 12, 2014
  Joined: Aug 10, 2014
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wadau mwenye kujua hii program inahusu nn na uwezekano wa kujiajir au kuajiriwa na mazingira yake kwa ujumla pale udom atiririke haf tuone
   
 16. m

  mzee wa kismati JF-Expert Member

  #16
  Oct 12, 2014
  Joined: Aug 25, 2013
  Messages: 1,554
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  ipo mzumbe pia
   
 17. GHIBUU

  GHIBUU JF-Expert Member

  #17
  Oct 12, 2014
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,188
  Likes Received: 705
  Trophy Points: 280
  Kama Umepata huo mkopo na hio nafasi soma, kama hukupata ajira tanzania hata nje ya Tanzania zipo.
   
 18. m

  miikky Member

  #18
  Oct 12, 2014
  Joined: Aug 10, 2014
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mkopo nmepata so ngoja nikakomae.
   
Loading...