Msaada mwenye Game la Plants vs Zombies anitumie

Odili

JF-Expert Member
Feb 8, 2015
1,771
1,387
Wajumbe habari za mida?
Naomba mwenye hilo game (Plants vs Zombies) anisaidie.

Nilikua nalo ktk pc yangu lakini ilipata tatizo nika-format, so naomba mwana jf yeyote aliye nalo anisaisie.

Natanguliza shukrani.
 
download kupitia torrent sites
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom