Msaada mwenye firmware update ya huawei e303h-1 anipatie

PHILIPP DONIE

Member
Jul 2, 2013
61
15
nimenunua modem ya tigo huawei e303h-1. tafadhali mwenye firmware update au trick nyingne niweze kuitumia kwa simcard nyingne anisaidie. asanteni sana..
 
Mkuu mbona hawa wana officil website ya firmware zao... Ila mm nlijarbu kuweka firmware kwenye modem kama hyoo ila sikufanikiwa kui unlock na sasa. Ile webui ya modem haijiiii
 
Hivi ku unlock na ku update software ni jambo lile lile? Tena uka update huko huko tigo waliko lock hiyo modem? Try to be serious.
 
kwa modem hizi mpya e303h (h series 86) ku unlock kwa kuingiza code inakuwa shida sana mpaka uwe na dc hisilicon firmware writer na kuipata ni lzaima kulipia. bt ukiwa na firmware update inkuwa rahisi kwani itakudai flash code na ukiingiza mojakwa moja itaaupdate na kufutilia mbali data zote za mwanzo ikiwemo ile lock. hope mkuu umenipata hapo.
 
Mkuu mbona hawa wana officil website ya firmware zao... Ila mm nlijarbu kuweka firmware kwenye modem kama hyoo ila sikufanikiwa kui unlock na sasa. Ile webui ya modem haijiiii

web yenyewe pia najaribu kuingia sasa hv hawajaweka upadate ya hizi e303h
 
Mkuu mbona hawa wana officil website ya firmware zao... Ila mm nlijarbu kuweka firmware kwenye modem kama hyoo ila sikufanikiwa kui unlock na sasa. Ile webui ya modem haijiiii
hii haijapata dawa bado
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom