X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,788
- 15,012
- Thread starter
-
- #121
kiukweli ndugu yangu vigezo bado sina...ila kama huto jari naomba niiifadhi hii comment siku nitakapo kuwa nimeshatimiza vigezo...pakiwa na nafasi nyingine tafadhali sana nitaomba uniconsinder....bado nilirenew leseni yangu bado haijatoka na passpot pia bado japo ndani ya wiki ijayo naweza kuwa nimeipata passpot...ila kwa upande wa leseni sina uhakikakazi ipo kama upo serious nitafute jamaa atawafanyia interview ijumatatu means 12/7/2021
kazi ni ya udereva tax wa kampuni ambayo utakuwa unafanya kwa masaa 12 tu kwa siku.
mahitaji ni passport na leseni ya udereva class C.
Wadhamini wawili wanaofanya kazi serikalini.
mshahara ni 800$ ambayo utakuwa unalipwa kila mwisho wa mwezi.
Note:
kinachohitajika ni passport na driver licens tu,viza na vitu vingine vyote utalipiwa isipokuwa utakatwa 800$ kama gharama ya agent ambae atakuwa responsible kwa lolote utapokuwa huko dubai.
makato hayo ya agent yatafanyika kama ifuatavyo.
Baada ya kupewa viza na kupatiwa ticket yako ya ndege na kusaini mkataba ukiwa air port utatakiwa kumpa agent 200$ kama malipo yake ya kwanza na hizo 600$ utatakiwa kulipa kwa kukatwa 100$ kila mwisho wa mwezi kwa miezi 6.
na safari mnatakiwa mpaka tarehe 25 muwe mlishasafiri.
Note 2:
kuhusu usalama wa mwajiriwa ni kwamba mkataba wenu utakuwa signed chini ya wizara ya kazi na ajira na kutakuwa na sehemu ya ubalozi wa Tanzania na mnakoenda kusign.
pia mwishoni kutakuwa na wadhamini wa hiyo kampuni(mwajiri) ambao wanaishi masaki ambao watakuwa responsible kwa lolote litalowapata mkiwa kwenye ajira yenu dubai.
Nafasi zilikuwa 10 now bdo wawili so kama utakuwa na vigezo au interested
karibu pm ila hakikisha unavigezo husika.
Ukifika Dubai usitusahau ndugu zako.kiukweli ndugu yangu vigezo bado sina...ila kama huto jari naomba niiifadhi hii comment siku nitakapo kuwa nimeshatimiza vigezo...pakiwa na nafasi nyingine tafadhali sana nitaomba uniconsinder....bado nilirenew leseni yangu bado haijatoka na passpot pia bado japo ndani ya wiki ijayo naweza kuwa nimeipata passpot...ila kwa upande wa leseni sina uhakika
msijali nitawatumia na nyie tiketi mjeUkifika Dubai usitusahau ndugu zako.
Sawa mkuumsijali nitawatumia na nyie tiketi mje
Unachosema kuhusu hao Agents kuwepo Kenya ná Uganda ni kweli kabisa. Wakenya wako wengi sana Qatar na Dubai. Nilishangaa sana sikupata nafasi ya kukutana na mbongo hata mmoja. Basi nikawauliza inakuwaje wako wengi sana kule wanapataje kazi? Ndiyo wakanijibu kwamba nchini mwao kuna maagents ambao wameingia mikataba na waajiri au maagents wa huko kwa hiyo wao wanafanya taratibu zote za ajira na wakiridhika na mtu kwa ajira zilizotangzwa kule na waajiri au maagents basi wanafuata taratibu zote za kuingia nchi hizo kihalali ili mhusika akishafika kule na kukamilisha taratibu zote za kuingia anaanza kazi mara moja. Sidhani kama hao maagents wa Kenya na Uganda watakubali kumsaidia Mtanzania.
awawezi kabisa...kwasababu watanzania walio wahi kwenda huko wale wa mwanzo hawakuwa na moyo wa uvumilivu tofauti na wakenya ama waganda ama kutoka mataifa mengine...kwakifupi watanzania atuaminiki...nimefanya mawasiliano na maagent wote hao na bila kupepesa maneno wamenijibu majibu yanayo fanana...hadi nguvu ziliniisha ivi sasa nia yangu ni kupambana kupata njia ili nitengeneze njia kwa wengine wenye nia ya dhati ya kufanya kazi
asante....ila nimeona njia ya kujilipua ni very risk sana kamanda...kwasababu nahitajika kuwa na pesa nyingi...hivyo sito mudu kabisa...kipato changu kwa sasa nikiamua kuweka pesa hadi ifike 1m maana yake hapo nizime simu zote niishi maisha ya peke yangu peke yangu...kiukweli siwezi pesa ninayopata ni ndogo sanaMKuu kwanza hongera kwa kuwa na uthubutu wakutaka kufany maamuzi kama hayo.
Waganda na wakenya wapo mbali sana, na wanakula matunda ya kaka zao waliotangulia kwenye hayo ma beach, sisi kaka zetu waliotangulia wengi wao walikata tamaa mapema na waliofanikiwa wakawa ni wabinfsi sana.
Nina uzoefu wa kiasi kuhusu Dubai.
njia nyepesi ya kupata ajira ni kujiripua tu mkuu, ukate ticket na visa kama ya miezi mitatu wende ukatafutie kule kule kazi, hapo ni rahisi zaidi kupata kuliko ukiwa huku.
na kwa hapa bongo nilisoma course ya security basic ambayo kampuni ninayofanyia kazi walitusomesha hivyo ninacho cheti...je kitafaa...?Prince Mhando Na pia kama utakua na hela kiasi ni vyema kufanya haya ninayokwambia, Ukafanye training ya either week au 2 weeks ya security ili upate leseni ya DUBAI ya security hii itakurahisishia kupata ajira kiwepesi sana, ndio michongo wanayotumia wahindi na wanigeria. Ila ni bei kidogo hiyo training inaweza kufika dirham 4000. (kama 2.5m ya kibongo) Ila ukiwa nahiyo uhakika hulali na njaa.
Nmetembea Dubai, aise wakenya, waganda, waNigeria wengi sana...wabongo hawaonekani 🤣🤣🤣🤣🤣
na kwa hapa bongo nilisoma course ya security basic ambayo kampuni ninayofanyia kazi walitusomesha hivyo ninacho cheti...je kitafaa...?
na hiyo leseni yao inatolewa huko huko...?kitafaa mkuu, ila ukiwa na hiyo niliyokwambia yakwao ndio umemaliza kila kitu.
Kitu gani kikubwa kwa laki 5 mkuu?Shusha Nondo.Nitakua mpumbavu nitoe 1000 usd wakati huu ni mtaji kabisa....tatizo wabongo wengi ni wavivu wa kujishughulisha, fursa hapa bongo ni nyingi sana hata ukiwa na kamtaji ka laki tano unafanya kitu kikubwa. Wabongo tuacheni uvivu!
Akikujibu nitagKitu gani kikubwa kwa laki 5 mkuu?Shusha Nondo.
1000 usd=2,315,088/= Milioni mbili na laki tatu kumi na tano na themanini nane.Kitu gani kikubwa kwa laki 5 mkuu?Shusha Nondo.
NimemjibuAkikujibu nitag
mzee mbona tunatishana watu wapo nje...wengi na wanatoboa mbona malalamiko hayo...hakuna...weka ushahidikua makin biashara ya figo na moyo imeshamili
Akikujbuuu n Tag mkuu hawa ndo wanao wakatisha wengne tamaamzee mbona tunatishana watu wapo nje...wengi na wanatoboa mbona malalamiko hayo...hakuna...weka ushahidi
Nimemaniisha hiyo biashara ya laki 5Nimemjibu
1000 usd=2,315,088/= Milioni mbili na laki tatu kumi na tano na themanini nane.