Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu

Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu

Kama bado Upo interested kwenda kufanya kazi abroad,nenda Mabibo makutano Kuna jengo linaitwa Georgious house ni first floor wanapeleka watu Qatar kwa nafasi za cleaner

Mpk sasa wamepeleka watu zaidi ya 60 kwa mwezi December na January....gharama zao ni makubaliano ya kuwalipa ukishaingia kazini

Kampuni Inaitwa Xbas recruitment
Wasiliana nao kupitia #0714334497

Utanipa feedback

Pia kampuni ya Gardaworld imeanza kujiajiri upya kama Utakuwa tayari kurudi kule
vipi ndugu hiyo kampuni mbaka leo inapeleka watu?
 
Uzi makini, wauungwana wanapeana koneksheni, jambo zuri sana.
 
any one here
Mimi sina connection na ajira ila nina connection na work visa na permanent residency ukifika kazi unajichsnganya na wenyeji wako watakuseidia kupata

Hyo ni gharama Maana ukwel watu kukutolea visa permit ya mwaka, ina cost had 3.5 milion na hapo ticket juu yako one way ticket kma laki 8 hivi

Kwaiy kwa tatizo lako kipesa bado inakua ngumu
 
Back
Top Bottom