Msaada: Mwanangu amekuwa addicted na catoon (katuni)


Leo umekua na akili faizafox . Mawazo mazuri haya , big up
 
Last edited by a moderator:

Ok kaka nimekuelewa ........yawezekana niliandika nikimlenga mtoto wa mtoa mada......nimekuelewa kaka!!!!!!
 
Kwa mtoto kuna uwezekano, japo mimi ni mtu mzima lakini nazipenda sana ,pia jaribu kumcontroll isimuathiri.
 
Hata mwanangu naona katuni zimemuharibi sana Yani yye kila ukimkuta anaonge Kama wale katuni na vitendo wanavo fanya nae anafanya Ana miaka 2 .5 lakn hata umsemeshe vip haelewi chochote dah katuni sio nzuri kwa mtoto
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…