mkuu mtafutie vitu vingine vya kuchezea mf.baskeli,game za computer,vinanda,gitaa,marimba nk ajifunze kimoja kimoja baada ya muda atasahau cartoon.ni hayo tu
Unaongelea chekechea zp mkuu? Mbona chekechea nyingi ni lazime hm work watoto wapewe na wana deadline. Labda unazungumzia za miaka ya tisini
Hivi kaka a for apple, b for ball hii inaweza kuwa sio homework!!!!??????
Waooh! Noted with thanks......stay blessedThats a real lady, hayo ndiyo anayaona nyumbani. Akikuwa atabadilika, bado ni mdogo sana, so just enjoy it while it lasts.
Hiivi huyu anaelewa tunaongelea Cartoons gani lakini?maana naona amekariri moja tucartoons are not good they dont teach they destroy ,kids mind,thinking ability,behaviours,violence,guns,milipuko,impossibles,paka anashika uma,wanyama wanaongea,uhalisia unapotoshwa eg samurai jack,double dragon,mavazi ya cartoons,mapenzi
FREE DELIVERY (DELIVERANCE) END-TIME DELIVERANCE MINISTRY - DEMONBUSTER.COM DELIVERANCE MANUAL
Hiivi huyu anaelewa tunaongelea Cartoons gani lakini?maana naona amekariri moja tu
Sasa wache wanao waangalie Filam za kibongo siku moja ukute wamepandiana juu ndio utajua
maisha ni mfumo wa sauti hapo sawa ila computer games no no
IQ zinazidiana sishangai
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo, Uwezo wako wa kutenda ni mdogo, hata kupambanua mambo bado ni shida! Unashindwa hata kuweka link hapo ili tukas0me hicho unachotaka! Kama hujui jinsi ya kuweka link utajuaje carto0n zinavyotengenezwa zaidi ya kuwaza Uchi tu?!! Teh teh teh, Uchi sio dili kijana hebu jaribu kug0ogle hapo "HOW ANIMATION MADE" kidogo ujitambue.
Maisha ni mfumo wa sauti kivipi? And why not computer games? Please.
Katuni huwa zinafunza na kusaidia kwa watoto....lkn kwa siku nzima kaka huo ss ni wajibu wako km mzazi.iweje huna ratiba kwa motto soka,kucheza na wenzake na j'mosi,j2 watoe watoto beach nk sio ww na washikaji bar tu....
asiangalie sana muda mwingine mwache acheze game kwa computer.
Dah, mkuu computer na mtoto wa miaka 5 huoni kwamba atapata tatizo la macho mapema sana?
U have poorest parental control over your son.
Hili ni tatizo kubwa sana kwa wazazi wanashindwa kuwapangia watoto nini waangalie kwny tv na kwa wakati gani..
Kama umeshindwa kumbadili kitabia hicho kabiiiisaaaa fanya haya:
Fungia tv chumbani kwako ukitoka,
Chomoa kisimbuzi ukitoka
Rudi kwa wazee wako wakupe fundisho namna ya kumlea mtoto.
hujaona simu,t.V tuanzie hapa