haujatuambia huyo mwanao ana umri gani na umejuaje kama kabakwa.
maana vipimo vya awali kwa mtu aliyebakwa ni rahisi katika hospitali ya level yoyoye.
1. physical examination- daktari hapa ataangalia kama kuna michubuko sehemu za siri na mbalimabli za mwili , kama ganda la bikra( Hymen) bado lipo, na atangalia kama kuna mabaki ya sperm
2, kuchukua sampuli za maabara na kwa ushahidi ikiwa mambo yatafika mahakamani
- uchunguzi wa mbegu za kiume (Sperm analysis)
- Vipimo vya mimba
-vipimo vya maambukizi ya HIV ( Hapa atapima ili ku rule out kwamba huyo mtoto hakuwa na HIV)