vnn JF-Expert Member Joined Oct 6, 2015 Posts 3,030 Reaction score 7,498 Nov 20, 2016 #1 Habari wana JF, Naombeni kwa anaefahamu anisaidie jamani ukiajiriwa kazini unaruhusiwa kufanya kazi kwa miaka mingapi ndo uruhusiwe kwenda kujiendeleza na masomo? Natanguliza shukrani.
Habari wana JF, Naombeni kwa anaefahamu anisaidie jamani ukiajiriwa kazini unaruhusiwa kufanya kazi kwa miaka mingapi ndo uruhusiwe kwenda kujiendeleza na masomo? Natanguliza shukrani.
Rohombaya JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 13,080 Reaction score 10,436 Nov 20, 2016 #2 Dah.....Inategemea na asili ya kazi/utaalam yako...kuna kazi nyingine ikipita miezi 6 tu...imekula kwako
Dah.....Inategemea na asili ya kazi/utaalam yako...kuna kazi nyingine ikipita miezi 6 tu...imekula kwako