Msaada: Mtoto Wangu Amemeza Sarafu ya Sh 50

Msaada: Mtoto Wangu Amemeza Sarafu ya Sh 50

Mzalendowetu

Member
Joined
May 22, 2012
Posts
87
Reaction score
36
Wana JF, muda mfupi uliopita mtoto wangu wa miaka minne amemeza sarafu ya sh 50. Hasemi kama anapata maumivu yoyote. Nifanyaye kumsaidia?
 
muda uliotumia kuweka post jf ungeshekafika hospital
 
Mpeleke hospital wamfanyie scan wajue ipo wapi kwa sasa kama ishaingia kwenye tumbo nadhani ataitoa thru big haja.
 
Kitu cha papai na juicy ya ukwaju vihusike kama huduma ya kwanza
 
Nenda hospital kwanza sio kila usauri jf hospital wanjua cha kufanya ndio jf kunaushauri si waaraka kama unavyozani
 
Sarafu tu? Usijali inatoka
1407666222049.jpg
 
Usipoteze muda kwenda hospital italainika tu hiyo sarafu na atainya baada ya masaa machache
 
Back
Top Bottom