Msaada: Mtoto mchanga wa mwezi mmoja hajawahi kulia

oh my that's so scarey!!!!
duh!!!
aisee hicho kidume si mchezo atakayekula ngumi zake ajue hakuna tena kurudi, tutakutana parapanda ikilia
 
Japo binadamu tunafanana lakini kila mtoto ana ukuaji tofauti na mwingine.

Kama walivyoshauri nenda kwa madaktari bingwa wa watoto yaani paediatrician. Na ni vizuri ukawa na daktari bingwa mmoja anaye mwona mtoto ili awe anajua historia yake na maendeleo. Unless otherwise unaona mtoto hana maendeleo ndiyo umpeleke kwa daktari mwingine kwa second opinion.

Dr. Massawe pale moroco nyuma ya jengo la airtel yupo vizuri sana ila tatizo siku hizi ana haraka sana na watoto wengi sana wa kuwaona.

Nakushauri umwone dr. Dulla hapo hapo kwa dr. Masawe. Ni mtulivu na ana chukua muda kumkagua mtoto.
 
Mwangalie chini ya ulimi huenda ulimi wake umeungana mpaka mwisho.Kama umeunganika nenda hospitali kamuone daktari wautenganishe kwa kukata .Unipe mrejesho.
 
Umeenda hospitali ngapi tofauti? jaribu na sehemu nyingine (hospitali). pia kama kuna wazee pembeni wamuangalie hata ulimi wake isije ikawa ni bubu
pole sana
Hilo la kuangalia ulimi laweza kuwa msaada mmoja wapo wa kutoa ufumbuzi wa tatizo
 
Mkwe hizo ngumi zitakuhusu wewe oooh sorry namlea kizungu nimeisahau hautapigwa teh

nilisahau kuuliza. usiku ulikuwa unamnyonyeshaje?

naona tunachanganya mtoto kilizi na mtoto anayelia akiwa na shida.

sasa mtoto wa mleta mada kajikausha mwezi mzima. wakiamua wasimlishe siku nzima ataendelea kujikausha?
 
Jamani kwa ufahamu wangu ni MUHIMU sana mtoto kulia tena hasa pale pindi tu mtoto anapokua amezaliwa.

Kwani mtoto anapokua analia pale tu baada ya Kazaliwa anakua anaruhusu hewa ya oxygen kuzunguka kwenye ubongo. Ana asipolia kuna madhara baadae kwa mtoto.
 
Tatizo hatujui kwanin halii na hospital wanasema mtoto yuko vizuri hana shida
Pole sana mkuu,kama mtoto alivyozaliwa hakulia na wametumia forceps or vacum delivery (kuvutwa) katika kumtoa nina wasiwasi anaweza kuwa amepata kitu kinaitwa *cerebral palsy.*
 
nilisahau kuuliza. usiku ulikuwa unamnyonyeshaje?

naona tunachanganya mtoto kilizi na mtoto anayelia akiwa na shida.

sasa mtoto wa mleta mada kajikausha mwezi mzima. wakiamua wasimlishe siku nzima ataendelea kujikausha?
Nlikua naamka nakaa, hili swala la kulia mie najua ni shida siku ya kuzaliwa sijawahi kujua baada ya hapo asipolia ni shida
 
Nlikua naamka nakaa, hili swala la kulia mie najua ni shida siku ya kuzaliwa sijawahi kujua baada ya hapo asipolia ni shida
nilimaanisha kuhusu kulia. yani unaamka usiku unamkuta macho ndo unamnyonyesha? kwahiyo kila ukiamka na yeye yuko macho, kimya anasubiri msosi?
 
nilimaanisha kuhusu kulia. yani unaamka usiku unamkuta macho ndo unamnyonyesha? kwahiyo kila ukiamka na yeye yuko macho, kimya anasubiri msosi?
Hajawahi kulilia nyonyo nlikua nacheki tu baada ya masaa flani nampa, akiwa na njaa anazidisha kunyonya kidole ndio sign (ananyonya kidole).

Akiwa mchanga namuamsha ananyonya alivokua kua nikiona ananyonya kidole kwa nguvu najua anahitaji kula
 
Hajawahi kulilia nyonyo nlikua nacheki tu baada ya masaa flani nampa, akiwa na njaa anazidisha kunyonya kidole ndio sign (ananyonya kidole)
Akiwa mchanga namuamsha ananyonya alivokua kua nikiona ananyonya kidole kwa nguvu najua anahitaji kula
dah. mtoto mvumilivu kama lance lowrey.

I think mtoto anayeweza kujibembeleza ni mzuri.
hopefully Hamna any other underlying medical condition inayomfanya asilie hata!
 
dah. mtoto mvumilivu kama lance lowrey.

I think mtoto anayeweza kujibembeleza ni mzuri.
hopefully Hamna any other underlying medical condition inayomfanya asilie hata!
 mvumilivu kama..... Ha ha ha ha
Ndo ushajipatia mzungu mweusi hivo

Mara nyingi watoto wanaonyonya vidole sio wasumbufu hawalii lii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…