Msaada: Mtoto kutokwa na udenda

Robot la Matope

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
7,887
16,115
Habari wakuu,
Nina kijana wangu wa kiume ndo anatimiza miaka 2 tatizo lake kutokwa UDENDA.
Anatokwa udenda mpaka analowanisha nguo within an hour.
Msaada kama unajua tiba
uploadfromtaptalk1462294491506.jpg
 
Tradition wise wajomba wanakula huo udenda kwenye chakula pasi na wao kujua. Mtoto wa sista wangu alipona through that way
 
Mkuu, nenda Agape Center kituo cha kanisa katoliki pale atapata maombi na hakika Yesu atamponya.

Yuko dada alikua anakula magodoro lakini alipofika pale baada ya siku kadhaa alipona.

Iko njia ndani ya jina la Yesu.
 
Mkuu, nenda Agape Center kituo cha kanisa katoliki pale atapata maombi na hakika Yesu atamponya.

Yuko dada alikua anakula magodoro lakini alipofika pale baada ya siku kadhaa alipona.

Iko njia ndani ya jina la Yesu.
Asante Mkuu but tupo kijijini tena mikoa ya mbali na Dar
 
Kulea watoto kuna changamoto nyingi sana,mm mwanangu alikua anatoa udenda km hivyo lkn sio mwingi baadae ulikata wenyewe.
 
Hakuna shortcut linapokuja suala la mtoto,wahi hospitali kwa wataalam mkuu watajua la kufanya usilete utani utapata lawama tu baadae duh mpaka miaka 2 unajiuliza khaaaaaa.
 
Mnunullie chewing gums, ila zile zisizokuwa na sukari zisijeharibu meno, awe na utaratibu wa kutafuna kila mara udenda utaacha
 
Back
Top Bottom