Msaada: Mtoto hataki kula

Msaada please mtoto ataki kula kabisa zaidi ya kunyonya Ana mwaka na miez 7

Sent using Jamii Forums mobile app

Tatizo tunalea watoto kizungu mno...mtoto mpaka maji ya kunywa tunablend...mchanganye na wenzake atapenda kama tu...acha kumfungia ndani mwache achangamane na wenzake...hamna jipya zaidi ya hili..maanake i hope kama hospitali umeshampeleka sana tu...huku umekuja kuchukua second opinion tu...
 
na hii inatokea MIEZI 6 yote mtoto unampa maziwa ya mama tu kufuata ushauri wa kidaktari hata vimaji humpi ni sawa lkn inategemea na mto anavyokkuwa na mazingira uliopo.

chakufanya aanze na kumlambisha vitu vitamu vitamu lkn viwe nature hasa matunda 7bu yanayeyuka halaka tumboni kisha yatamletea njaa.

hasa tafuta machungwa matamu unamkamulia au akipenda unamuachia mwenyewe mkononi zima apambane nalo na mapengo yake sometyme mlambishe viasali.

kisha anza mtengenezee uji wa dona mwepesi weka na asali unaenda naye taratibu baada muda kadhaa atazoe tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom