Nan Jing University yupo Bhoke anajifunza kichina, Nan Jing Artillery Academy wapo maafisa wanne wa tz na Shanghai University karibu na mnara mkuu wa posta una wawili. Nitaku PM e-mail zao punde ngoja nimalizie. Kutoka Nan Jing kwenda Shanghai ni saa mbili kwa basi lkn sijajua km ile treni ya ardhini imeshaisha.