Msaada Mtanzania Anayeishi Namibia.

Msaada Mtanzania Anayeishi Namibia.

Tawire

Member
Joined
Apr 21, 2022
Posts
36
Reaction score
70
Habari za wakati huu wanajukwaa?
Naomba kupata mawasiliano ya Mtanzania anayeishi nchini Namibia,Kuna jambo la muhimu naomba kumshirikisha ili niweze kupata ushauri stahiki.
Kama yupo yeyote hapa,tafadhali naomba tuwasiliane kwa Direct Message (DM).
Naomba kuwakilisha.
 
Mimi cmjui yoyote ila chochote unachopitia andika tunaweza kukushauri kwa sababu habari zote siku hizi zipo online hauhitaji mtu kuwepo kw ground. Tunaweza kujua au kuchunguza pia tukupw ushauri fasaha
 
Mimi nina jamaa kibao huko,lakini sithubutu kutoa mawasiliano yeyote ya mtu wangu yeyote bila ya wewe kujieleza vzr hapa .

Unahitaji nn toka Namibia..
Na nilazima niwasiliane na mtu wangu ili ashawishike kukusikiliza.
 
Back
Top Bottom