Msaada: Msongo wa mawazo umenikosesha usingizi

Msaada: Msongo wa mawazo umenikosesha usingizi

we unajua 15000 kwa muhindi unafanya kazi ya ugumu gani tena hupati kwa siku moja

hela imekua ngumu hadi kwa machangudoa wateja wanapaka mkongo tu hawamalizi upesi
Mkuu iyo pesa kama kwawale wahindi wa kariakoo unafanya kazi siku tatu washenzi sana alafu hupumziki kazi kama punda
 
Wakuu yani jana usiku sikupata usingizi kabisa,
Kuna demu mmoja niligharamia Elf 15 nikajua ntakula mzigo lakini matokeo yamekuwa tofauti,
Naijutia hela yangu ya ngama....
Hiyo inaitwa magu effect.
 
Back
Top Bottom