Msaada: Msongo wa mawazo umenikosesha usingizi

Msaada: Msongo wa mawazo umenikosesha usingizi

Wakuu yani jana usiku sikupata usingizi kabisa,
Kuna demu mmoja niligharamia Elf 15 nikajua ntakula mzigo lakini matokeo yamekuwa tofauti,
Naijutia hela yangu ya ngama....
Sasa ili si ungelipeleka kijiwe chenu cha bangi , haikuwa na haja ya kupost hapa , huyo demu achana naye hutakaa umpate nao wamechoka sana kuwathaminisha na pesa, mkifikiri wao hawana moyo wa kupenda
 
Mama nanliu uko wapi mbona hufiki tu?, njoo tunanliu mambo yakae sawasawa
 
Sasa ili si ungelipeleka kijiwe chenu cha bangi , haikuwa na haja ya kupost hapa , huyo demu achana naye hutakaa umpate nao wamechoka sana kuwathaminisha na pesa, mkifikiri wao hawana moyo wa kupenda
Kijiwe chetu cha bangi unakijua?
 
Nahc kina niffah na miss chagga wanaweza kukupa ushauri wa kupunguza stress pamoja na Kaka Mshana, Mentor.
 
Back
Top Bottom