Msaada mshahara wa polisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada mshahara wa polisi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by ethicx, Sep 25, 2012.

 1. ethicx

  ethicx JF-Expert Member

  #1
  Sep 25, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 314
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Habari zenu wajameni, nataka kufahamishwa eti mshahara wa polisi mwenye certificate na diploma za fani ya IT, vile vile ningeomba kufahamishwa kuhusu vyeo coz nasikia tu kuwa mtu wa bachelor anaanza na nyota mbili vp kwa diploma? Na marupurupu yapoje?
   
 2. neva cin neva bin

  neva cin neva bin Member

  #2
  Sep 25, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu polis kumeoza sa hiv, nina jamaa zangu wana degree tena ya mzumbe ila wanalinda doria nao
   
 3. Mabreka

  Mabreka JF-Expert Member

  #3
  Sep 25, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 709
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  si ndo kazi ya polisi?
  kila mahali lazima uanzie chini. unataka akiingia awe kov gafla?
   
 4. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #4
  Sep 25, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Ukitaka kujua mshahara wa polisi nenda katembelee kota zao utapata picha.
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Kazi ya Polisi ni kulinda raia na mali zao,sasa wewe unataka kuingia polisi kufanya kazi gani? Hata Kova naye ni analinda raia na mali zao ndio maana haipiti wiki anatoa matamko!!
   
 6. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #6
  Sep 25, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Sitashangaa nikiambia mshahara ni 120,000 marupurupu ni wewe tu kujiongeza!!!
   
 7. peri

  peri JF-Expert Member

  #7
  Sep 25, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  mkuu tafuta post inayozungumzia kazi ya polisi au ualimu, kuna takwimu za kutosha kule.
  Nadhani ipo jukwaa hilihili la kazi, ningekusaidia ila natumia cm.
  Achana na waropokaji wasiojua wanacho kiongea.
  Ndio wanaoshusha hadhi jf.
   
 8. N

  Nyakwec's Bro JF-Expert Member

  #8
  Sep 26, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 819
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Mi ninachofahamu polisi hakuna cha profesional wala nini ww ukifika ni kwata na unaanzia ukonstable hakuna nyota wala nn

  jeshi la wananchi ndy wanasamini hizo degree kwahy huko wala usitegemee utapewa ofisi ya fani yako labda baadae sana

  cheo hakuna cha bure ni chakukisotea siku hizi hakuna nyota za kupewa sababu ya degree siku hizi!...
   
 9. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #9
  Sep 28, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  mpaka sasa ninavyoongea hakuna mshahara polisi wa 120,000/,mwenyenyotamoja 534,000/-,posho150,000/,posho ya taaluma ipo kama unadegree nayo inalipwa
   
 10. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #10
  Sep 28, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  nani kakwambia mwenye degree hausiki kwenye ulinzi,kwenye operation kubwa anakuwepo mpaka sp
   
 11. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #11
  Sep 28, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Nani kasema hata ukiwa na degree hupati cheo? Utapata nyota moja ila tuu sio ghafla manake lazimaukaisomee lengo la kwenda kusomea hiyo nyota ni kwamba unaandaliwa kuwa afisa wa ngazi ya kawaida,baada ya hapo sasa ikifika miakamitatu unapanda kuwa inspekta
   
 12. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #12
  Sep 28, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Ukiingia formfour bila ujuzi unapew cheo cha constable,ukiingia formsixbila ujuzi unapewa cheo cha koplo yaani v mbili, ukiingia na certificate unapewa ukoplo,ukiingia na diploma unapewa usajenti yaani v tatu,ukiingia na degree unapew nyota ila sio ghafla
   
 13. The Listener

  The Listener JF-Expert Member

  #13
  Sep 28, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 977
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  taratibu zake ni kuwa lazima uanzie vyeo vya chini ili uzijue kazi zote za kipolisi na baadaye utaanza panda vyueo (kwa miaka mitatu mitatu kwa kila cheo). Vyeo vyenyewe viko katika sehemu mbILI; rANK AND File ni vyeo vya chini yaani toka conable hadi Major aka Station sergeant. Baada ya hapo unaanza na nyota moja unayokwenda kuchukulia mafunzo. Nyota ya pili unapewa na nyota ya tatu unakwenda tena kuisomea na baada ya hapo vyeo vingine vyote utastahili kupewa kwa bidii yako ya kazi. Hii yote imko katika nadharia. Cha ajabu ni kwamba, vyeo vimekuwa vikitolewa kwa upendelo mno. Mimi mwenyewe ni victim. Nilimaliza degree yangu ya kwanza zikapita intake tatu za kusomea nyota bila ya kupendekezwa kwenda somea. Nikaamua kusubiri hadi nilipokata shauri la kwenda somea degree yangu ya pili. Nilikata shauri hata kabla ya kumaliza shule na kupata kazi nyingine. Mishahara yao kwa sasa imeboreshwa kiasi tofauti na hapo nyuma ingawa bado ni midogo. Wanapata ration allowance ya kama laki na nusu nje ya mshahara na inaitwa ration allowance.

  The Listener - Ex Detective
   
 14. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #14
  Sep 28, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza uropokaji,mpaka mkaulizeulizee ndio muje mseme mimi najua kila kitu hadi salari ila nimeona nikae kimya by,
   
 15. Las Mas Bobos

  Las Mas Bobos JF-Expert Member

  #15
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 993
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Inategemea na kitengo, ukipangwa MABWEPANDE mshahara si chini ya 1m
   
 16. Askari wa miguu

  Askari wa miguu JF-Expert Member

  #16
  Sep 28, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 334
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa hapa umekaa kimya umecomment!, kama unajua waambie unachojua maana muanzisha uzi ndio anachotaka sasa suala la wewe kujua au kutokujua halafu unakaa 'kimya' kwa kucomment kwenye uzi linasaidia nini unaishia kudiss watu tu wakati wao wanapost wanachokijua au kusikia from somewhere? Hyo haijakaa vizuri mkuu
   
 17. L

  LUTAMBI JF-Expert Member

  #17
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 237
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Wachache mko serious kumsaidia ila wengi wanafanya dhihaka. Mi cjui naomba tusiojua turuhusu kuelimishwa... Asante SAMITI & the listener
   
 18. hengo

  hengo JF-Expert Member

  #18
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 403
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jambo usilolijua usilishobokee,umewauliza mishahara yao ni Tsh napi? dolia ni kazi ya polisi, wewe ulitaka wote wenye degree wawe ma RPC,RCO,RTO,OCD,OCS au OC - CID ghafla?Inapaswa wajue nature ya kazi kabla hawajapata uongozi hapo ndiyo watakuwa viongozi bora.
   
Loading...