Hapa tu ndio nimejua mtoa mada hajapevuka kiakili. Utumishi wanaweza kutangana nafasi ambayo haiko wazi na mkaitwa interview mkasafiri kutoka mikoani na wanajua nafasi haiko wazi kuna mtu au watu washapokea mishahara miezi kazaa. Ila inatangazwa kwa mujibu wa sheria tu. WHO
Mamlaka ya anga kama unayo kweli diploma hyo
Bila posho ya shiling lak 4 hapo utakunja take home 720000
Tusitafutane
Msalimie sana hamza johari DG
shukrani kwa ufafanuzi mkuu