kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,757
Wakuu nimekwama nahitaji msaada wenu wa haraka ktk hili.External HDD yangu haisomi ktk Imac yangu.Mwanzo ilikuwa inaonekana though nilikuwa siwezi ku paste files toka Mac kwenda kwenye HDD na nilikuwa naendelea na project zangu kama kwaida kwa ku-save project ndani ya comp badala ya External. Kwa sasa haionekani kabisa.kila ninapo i-plug via usb port naletewa msg yenye maneno ''the disk you inserted was not readable by this computer.Je tatizo hili linahusiana na issues za FAT/NTFS files?.Kuna haja ya ku-formart HDD kwa FAT?nime-google kuuliza tatizo hili lakini bado maelezo ninayopewa yapo contary na tatizo langu.
CC Young Master, chief-mkwawa, C6 & others.
CC Young Master, chief-mkwawa, C6 & others.