Msaada Tafadhali: Jinsi ya ku - attach File kubwa katika e-mail. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada Tafadhali: Jinsi ya ku - attach File kubwa katika e-mail.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Iselamagazi, Apr 2, 2012.

 1. Iselamagazi

  Iselamagazi JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 2,221
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Salaam wana JF!

  Naomba msaada wenu. Jana Jioni nilikuwa na compile taarifa zangu za kazi ktk template fulani iliyo ktk Microsoft Office Excel (9.89MG). Baada ya kumaliza kuandaa kazi yangu, nilijaribu kutuma taarifa zangu kwa njia ya e-mail kwa mkuu wangu wa kazi bila mafanikio. Nadhani File husika ni kubwa na njia niliyotumia yawezekana siyo sahihi! Mwenye kujua jinsi ya ku-attach file kubwa kubwa naomba msaada jinsi ya kufanya.
   
 2. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kama una account ya google jaribu kuiattach na kulishare kwenye google docs Hapa naona wanacheza wa doc ya excel wanaruhus hata more than 10 MB kwa spreedsheet soma hapa uone kama hiyo doc inakidhi vigezo vingine


   
 4. Iselamagazi

  Iselamagazi JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 2,221
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Oh yes! Ninashukuru mkuu. It works.
   
 5. Iselamagazi

  Iselamagazi JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 2,221
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
 6. dlink

  dlink Member

  #6
  Apr 11, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
 7. patience96

  patience96 JF-Expert Member

  #7
  Apr 11, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 1,187
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kwa kawaida natumia njia hii, kama File siyo kubwa sana, unaweza kutumia njia ya ku-ZIP.
   
Loading...