Msaada: Msaada kuibiwa simu

Msaada: Msaada kuibiwa simu

IIoT

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2014
Posts
1,065
Reaction score
1,409
Siku kadhaa zilizopita niliibiwa simu yangu, na nilichofanya ni kufata taratibu zote za kipolisi kama kufungua kesi. Kwa sasa file la kesi liko kwa mpelelezi na akanambia atakachofanya ni kuandika barua kwenda kwenye mitandao (Tigo, voda, nk), halafu wao watarudisha majibu kwamba IMEI ya simu yangu ni namba ipi inatumia. Changamoto ni kwamba mitandao wanachelewa kurudisha majibu ya barua, ndivyo mpelelezi anavyodai na akanambia ana file za kesi nyingi karibu miezi nane inatimia. Shida yangu ni uhitaji wa haraka wa simu yangu. Ushauri na msaada, labda kuna njia naweza kutumia ama software nikafanikisha kupata simu yangu ndani ya muda mfupi. Nawasilisha
 
isijekelele zote hizi sim ikawa tecno...kama ni iphone na ulinunua original wala huhitaji kuhofia hilo swala,,,hizi nyengine zinakua na app ya find my phone au imea waweza ipata hata kwenye box la sim(kama ukinunua original) then tumia moja ya application iliyoorodheshwa hapo AntiTheft App & IMEI Tracker All Phone Location, Find Lost Phone, Find My Device, SeekDroid: Find My Phone alamsiki
 
Simu aina gani Kama Ni iPhone unaweza kufatilia mwenyewe

Hizo nyingine mpaka wao usiwe mgumu Wa kutoa hela ya chai zoezi litakuwa chapu

Ongea na polisi vizuri mbela ya hela kila kitu huwa sawa
Bila hela utasubiri sana
 
Nunua simu mpya...huko utapoteza hela na muda wako
 
Back
Top Bottom