Msaada: Mpenzi wangu wa zamani bado ananitaka

Msaada: Mpenzi wangu wa zamani bado ananitaka

oiiii sio kihivoo im aged enough
 
Habarini wanajamvi!

Katika harakati za hapa na pale nilikwaruzana na mpenzi wangu, ofcourse nilimpenda nae alinikubali japo sikumwamini sana na ishu ya kuzinguana ni kwasababu alimtukana mtu ninaemtegemea katika mambo kadha wa kadha.

Nilivyojaribu kumwambia kwamba sijapenda lile suala akaanza kunikashfu actually ikaniuma so tukaacha kuwasiliana na kila mtu akawa na mishe zake. After one year nimekutana nae tena, she is pregnant na kaniomba tuzungumze.

Nilivopata mda tukakaa, akaanza kulia oooooh! Umefanya maisha yangu yawe magumu, sikutaka kuzaa na mwanamme mwingine zaidi yako na bado nakupenda sana na lazima nije nizae na wewe.

Wakuu nifanyaje?
Piga dushe,kama vipi nitupie no yake... Kizuri kula na nduguyo....
 
Ww msimamoless huenda toka muachane hujawahi pata mwingine huyo atakutesa sn, men tuwe na msimamo anamimba hakafu unamushobokea duuu we do differ
 
Ww msimamoless huenda toka muachane hujawahi pata mwingine huyo atakutesa sn, men tuwe na msimamo anamimba hakafu unamushobokea duuu we do differ
hainaa maana kuwa siwahi kumpata mwingn huwa nawapata but nawakunja inakuwa over it means huwa si dumu nao mkuu
 
hainaa maana kuwa siwahi kumpata mwingn huwa nawapata but nawakunja inakuwa over it means huwa si dumu nao mkuu
Achana nae dogo wanawake wapo wengi atajutesa anamimba duu halafu anakuja akizaa tuu jamaa lake litaendelea so you will be in hard time again
 
Back
Top Bottom