eti ee but mm mwenyew bado ni dependant wa mshua mkuu im a level student
ahsante kwa ushauriHujajua kitu hapo....huyo binti kaamua kukupotezea muda sababu ya hiyo hali. Si unajua mambo ya ujauzito unavyozengua. Subiri ajifungue ndo utajua kama anataka arudi kwako au la. Hapo ni hiyo mimba imemfanya amchukie huyo bwana aliyempa mimba. Grow up kid.
Habarini wanajamvi!
Katika harakati za hapa na pale nilikwaruzana na mpenzi wangu, ofcourse nilimpenda nae alinikubali japo sikumwamini sana na ishu ya kuzinguana ni kwasababu alimtukana mtu ninaemtegemea katika mambo kadha wa kadha.
Nilivyojaribu kumwambia kwamba sijapenda lile suala akaanza kunikashfu actually ikaniuma so tukaacha kuwasiliana na kila mtu akawa na mishe zake. After one year nimekutana nae tena, she is pregnant na kaniomba tuzungumze.
Nilivopata mda tukakaa, akaanza kulia oooooh! Umefanya maisha yangu yawe magumu, sikutaka kuzaa na mwanamme mwingine zaidi yako na bado nakupenda sana na lazima nije nizae na wewe.
Wakuu nifanyaje?
Nina tukio linatokana na kwa asilimia kubwa na hili lako.
Huyu mpige nao tu.....yani ukiwa na nyege mshindo unawahi kwake mana ex haachiHabarini wanajamvi!
Katika harakati za hapa na pale nilikwaruzana na mpenzi wangu, ofcourse nilimpenda nae alinikubali japo sikumwamini sana na ishu ya kuzinguana ni kwasababu alimtukana mtu ninaemtegemea katika mambo kadha wa kadha.
Nilivyojaribu kumwambia kwamba sijapenda lile suala akaanza kunikashfu actually ikaniuma so tukaacha kuwasiliana na kila mtu akawa na mishe zake. After one year nimekutana nae tena, she is pregnant na kaniomba tuzungumze.
Nilivopata mda tukakaa, akaanza kulia oooooh! Umefanya maisha yangu yawe magumu, sikutaka kuzaa na mwanamme mwingine zaidi yako na bado nakupenda sana na lazima nije nizae na wewe.
Wakuu nifanyaje?
Duuuh kwa maisha hya kuoa bikra labda binti wa 16yrz ndio umkute nayo tena kwa nadraWanaume mna vituko!!! Mnapenda kuvuliwa chupi na kila mtu halafu mkitaka kuoa mnatafuta bikira. Hahahaaaaa!!!!!!!!!!
wacha buanah kwa hiyo ulikaa mwaka mzima bila kupiga mechi hata za ndondo?!kiukweli sikuwahi
Hahahaha eti "halafu"...Yaani ndivyo ilivyo kwenye game alikuwa analia kwa hamu ya utamu halafu sijui wabwagane na mpenzi wake ndo aje na mimba halafu nimuelewe , hapana aisee.