MBEGU BORA
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 501
- 360
kaka mpe tu anachokitaka kwa sababu ni haki yake iyo.
mara ngapi?Piga chin huyoo
hicho alichorudia.Ampe nn mkuu
Tena uckute alikua anamhimiza bwana ake.. "baby taraaatibuu"Huyo mwanamke mi namwona kama mjinga fulani hivi, upate ujauzito halafu ujutie kwani alibakwa si tamaa zake tu inshor kuwa mwangalifu kijana sababu kulea mtoto ambae sio wako ni kipaji.
Yaani ndivyo ilivyo kwenye game alikuwa analia kwa hamu ya utamu halafu sijui wabwagane na mpenzi wake ndo aje na mimba halafu nimuelewe , hapana aisee.Tena uckute alikua anamhimiza bwana ake.. "baby taraaatibuu"
ExactlyWe must be very careful when we give advice to younger people: sometimes they follow it!
Habarini wanajamvi!
Katika harakati za hapa na pale nilikwaruzana na mpenzi wangu, ofcourse nilimpenda nae alinikubali japo sikumwamini sana na ishu ya kuzinguana ni kwasababu alimtukana mtu ninaemtegemea katika mambo kadha wa kadha.
Nilivyojaribu kumwambia kwamba sijapenda lile suala akaanza kunikashfu actually ikaniuma so tukaacha kuwasiliana na kila mtu akawa na mishe zake. After one year nimekutana nae tena, she is pregnant na kaniomba tuzungumze.
Nilivopata mda tukakaa, akaanza kulia oooooh! Umefanya maisha yangu yawe magumu, sikutaka kuzaa na mwanamme mwingine zaidi yako na bado nakupenda sana na lazima nije nizae na wewe.
Wakuu nifanyaje?