Msaada: mpenzi wangu hajui mapenzi nifanyaje ?

lusevya

Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
30
Reaction score
12
Msaada jamani demu wangu hajui mapenzi hasa tuwapo kitandani yaani hajui afanye nini kwan hadi nimuulekeze mimi na hadi nikitaka kumla denda hajui tu kama atakiwa kutoa ulimi bali yeye analeta midomo yake kwangu tu na kupelekea meno kugongana ila kwa kweli ninampenda hasa kwa uzuri wake wa sura na na chura yake sasa jamani mnishauri nifanyeje?
 
hili nalo linahitaji dr..?!,
kwanza furahi kupata wa hivyo, pili mfundishe mwenyewe bila tumwonea aibu na umfanye naye asione aibu maana ni kujifunza,
 
Hayo Ndio Maumiv Ya Kimapenz Ndugu Yangu....???

Kweri Nimeamin Watu Wanatofautiana Maumiv Ya Mapenz

Ngoja Waje Wenzako Watakwambia Nin Maana Harisi Ya Mapenz
 
[emoji1] [emoji1] wanaume wa cku hiz bwanaa eeet maumivu ya mapenz, hiv mkuu ushawah patwa na maumiv ya mapenz kwel.
 
Reactions: BAK
Mfundishe tena una bahati umempata mshamba i mean mgeni gemuni sisi huku tuna majini wakata kamba wanatupasua kichwa *****@ mama sabrina
hahahahahah aiseee
 
Nitumie namba yake na picha yake nione kama analipa nitakusaidia bila hata senti tano kumfundisha kwa vitendo, mimi msamaria mwema
Aaaaa kirahisi hivyo Mmmmmhhhhh
 
Mlete kwa kocha kinyama nje hakika hutojuta atakuja anajua kila kitu hata kile kifurushi cha pindua pindua matumizi ya bando
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…