MSAADA: Mpenzi wangu ananisachi!

Sijafanikiwa kuishi nae chumba kimoja ila huwa tunakutana kwenye lodge, sasa yeye nikiingia bafuni tu kosa.

sentensi yako inajieleza huyo mtoto wa kike ni wa aina gani....koz kama mnakutana lodge maana yake humuamini, ulifanya uamuzi wa maana kutompeleka ghetto kwako mtoto kimeo huyo!!kimbia mbaya hafai

Wadau nina mpenzi wangu kipindi chapita 1 yr, ila ananishangaza na tabia yake ya kusachi mifuko yangu ya shati au suruali!
Halafu sielewi anataka nini kwani anatega muda nikienda msalani, Nilishamtega siku hiyo nikamkuta kuuliza anajibu kuwa hata mavazi ni mali yake kuwa ana uhuru huo wa kufanya!
Nitafanyaje ili tabia hii ikome?

Kumbe ulishapata jibu kwa nini anakusachi. Unachotakiwa kutueleza hapa ni je wewe ulikubaliana na maelezo yake kuwa hata mavazi yako ni mali yake? Kama ulikubali sioni sababu ya haya malalamiko ila kama hukukubali utueleze mlifikia muafaka gani baada ya majadiliano yenu. Kuanzia hapo nitatoa ushauri zaidi.

Wadau nina mpenzi wangu kipindi chapita 1 yr, ila ananishangaza na tabia yake ya kusachi mifuko yangu ya shati au suruali!

Halafu sielewi anataka nini kwani anatega muda nikienda msalani, Nilishamtega siku hiyo nikamkuta kuuliza anajibu kuwa hata mavazi ni mali yake kuwa ana uhuru huo wa kufanya!

Nitafanyaje ili tabia hii ikome?

Mpeleke kituoni akahojiwe, afanyavyo si vema, ni matendo ya vibaka!

Anaposema Mavazi ni Mali yake anamaanisha nini??..Ukinijibu hili nadhani tunaweza kushauriana cha kufanya..

wadau nina mpenzi wangu kipindi chapita 1 yr, ila ananishangaza na tabia yake ya kusachi mifuko yangu ya shati au suruali!
Halafu sielewi anataka nini kwani anatega muda nikienda msalani, nilishamtega siku hiyo nikamkuta kuuliza anajibu kuwa hata mavazi ni mali yake kuwa ana uhuru huo wa kufanya!
Nitafanyaje ili tabia hii ikome?
alikupa jibu muafaka kabisa.ni mpenzi wako na mavazi yako ni mali yake pia,chako ni chake kwahiyo sioni tatizo.labda kama una mambo ya pembenipembeni.

Wadau nina mpenzi wangu kipindi chapita 1 yr, ila ananishangaza na tabia yake ya kusachi mifuko yangu ya shati au suruali!Halafu sielewi anataka nini kwani anatega muda nikienda msalani, Nilishamtega siku hiyo nikamkuta kuuliza anajibu kuwa hata mavazi ni mali yake kuwa ana uhuru huo wa kufanya!Nitafanyaje ili tabia hii ikome?
fata ushauri wa member mmoja hapa anaitwa Kaka jambazi 'jisachi mwenyewe' ukikaribia home kabla ya yeye kukusachi,hii itakupunguzia presha zisizo na ulazima.

We m2 mzima fanya majaribio ya kimyakimya weka kiasi kidogo cha pesa mfukoni then uiache kama kawaida kwa makusudi kama mdokozi utagundua tu then u ll have the ans 4 such habit

Wasiwasi wako nini??? mwache asachi muhimu asikuibie.
Au mtege uache pesa alafu baada ya muda uangalie je?? ziko sawa, ukikuta zimepungua basi ana tabia ya udokozi, ukikuta ziko sawa basi ni hulka yake.

akishakusachi huwa anachukua au?

Mkuu, plz b clear and certainly. Kwani anavyomaliza kusach kuna v2 huwa huvioni tena. Prove if....
Wadau kwahili nilitolea maelezo hapo mwanzo kwamba nikirudi home ndo nakuta some amount zimepungua.

Anaposema Mavazi ni Mali yake anamaanisha nini??..Ukinijibu hili nadhani tunaweza kushauriana cha kufanya..

alikupa jibu muafaka kabisa.ni mpenzi wako na mavazi yako ni mali yake pia,chako ni chake kwahiyo sioni tatizo.labda kama una mambo ya pembenipembeni.

Kumbe ulishapata jibu kwa nini anakusachi. Unachotakiwa kutueleza hapa ni je wewe ulikubaliana na maelezo yake kuwa hata mavazi yako ni mali yake? Kama ulikubali sioni sababu ya haya malalamiko ila kama hukukubali utueleze mlifikia muafaka gani baada ya majadiliano yenu. Kuanzia hapo nitatoa ushauri zaidi.
Wakuu sijakataa kwamba hata mavazi ni mali yake ila najiuliza iweje anisachi wakati niko bafuni kwanini asiniambie naangalia suruali yako wakati niko nae.
TATA sijakubaliana na maelezo yake ila ndo kama hivyo napoingia bafuni anafanya kazi yake. kiukweli wadau nampenda na kumjali sana mpenzi wangu ila ndo nashindwa kumuelewa na tabia yake.

Huyo ni mwizi, usipomstukia mapema kuna siku atakuliza huyo

weka nyoka mfkoni

Aaaah! Huyo Dada anayake,.
Ila zaid n kuwa hakuamin, kama anasearch mifuko ya surual, simu si ndo itakuwa balaa?..
Haamin chochote unachomwambia,
so be careful aisee

kaka muwekee kiwembe akiingiza tu anakutana nacho ataacha mchezo wake tena mpyaaaaaaa

Eeeh, makubwa! Kumbe ...

mwizi huyo na tabia hiyo itaendelea na iko siku atakutia aibu kwa wengine

ana hulka ya wizi huymx mwanamke

unashindwa kumchana live kwamba hupendi hiyo tabia?...na kama ushamwambia afu askii hilo toto jeuri kazi unayo

ana mulika mwizi

Wakuu labda tabia hii unaweza kuishi nae vipi ili kila mmmoja awe na amani moyoni mwake?
msaada plz.

kama anakuibia huyo mzushi,dah tabia ya kipekee kabisa hiyo...sijui unasolve vp hapo na ndo hivyo unampenda me ningempotezea,Ila wewe kwa vyovyote utakapofanikiwa kutatua hilo tatizo utujulishe mambo yameendaje

Dada anakupenda sana na hivyo ana wivu na ndio maana anapenda kukuchunguza ili akujue mapema kabla hamjafika mbali, usimwekee kiwembe ila jaribu kuangalia ni nini huwa anachunguza sana. Pia hiyo ni dalili ya kuwa hana imani nawe hivyo anajaribu kukuchunguza kwa ukaribu zaidi.

Kwa upande wangu sioni ubaya wowote kwa mpenzi kukukagua/kukusachi kama unajiamini huna uovu wowote kwake.

One year in relation na haujajickia kumpeleka kwako?its weird meen....! Keshashtukia humpendi na wewe ni bahli so anakwapua size yake angalau ndicho atakuwa amesalia nacho....! Cha kufanya...mkifika gesti toa kila ki2 mfukoni then count ur money akiona then mpe kiasi unachoona kinafaa then ziache juu ya meza, hatakuwa na cha kusach na utakuwa umekata mzizi.

One year in relation na haujajickia kumpeleka kwako?its weird meen....! Keshashtukia humpendi na wewe ni bahli so anakwapua size yake angalau ndicho atakuwa amesalia nacho....! Cha kufanya...mkifika gesti toa kila ki2 mfukoni then count ur money akiona then kabla hamja do, mpe kiasi unachoona kinafaa then ziache juu ya meza, hatakuwa na cha kusach na utakuwa umekata mzizi.

anatafuta hela wala hana jipya na si mwanamke mzuri ni malaya fulani anatka kukuchuna tu

mpe za uso kuwa tabia yake ya kishenz hufagilii mbona yeye humpigi hlo tero au kama anahitaj hela c akuface kiroho safi

yawezekana anaona aibu kuomba pesa lkn nooo! ndiyo asachi sio tabia nzuri anajivunjia uaminifu huyo

Similar Discussions

Back
Top Bottom