Habari wapendwa.
Hapa Niko kwenye kizingumkuti sielewi nifanyaje. Kuna mwanaume amekuwa akinitafuta kwa muda mrefu baadaye nikamkubalia lakini akawa anaishi Dar na Mimi Niko Mbeya, HV karibu ni kama wiki hivi akaniambia unakuja Mbeya ili tufanye makubaliano vizuri maana tokea namkubalia hatujakutana tupange mikakati ya maisha yetu ya mapenzi.
Jana Ijumaa kakwea pipa kutoka Dar kuja Mbeya kwa dhumuni hilo kwamba atakaa ijumaa,jumamosi na kugeuza Dar siku ya Jumapili.
Ukiwa njiani nilimuomba nije kumpokea nikiwa na rafiki yangu wa kike akakubali.
Alipofika muda wa SAA kumi na mbili kasoro tulimpokea vizuri na kumpeleka kwenye hotel ambayo nilimfanyia booking na alipopumzika km dk kumi tukatoka nae kwenda sehemu ya kula ambayo iko mbali kidogo na hapo alipofikia. Tulikaa hapo hadi SAA tatu usiku tukiwa na rafiki yangu na hakuna maongezi yoyote ya Mimi na yeye yaliyoendelea pale.
Baada ya hapo tayari usiku tulimuaga kuondoka ili na yeye akapumzike alipofikia akaanza kukataa akitaka nikakutane nae kimwili, nikakataa kwa kuwa nyumbani si kuwa nimeaga na bado sio makubaliano yetu kufika na kuanzia Kudo kabla hatijaongea chochote kilichomleta.
Alikuwa serious kunitaka nikalale nae ili hali sina wazo wala kujua kuwa kaka kwa hilo so si kujiandaa kuaga nyumbani kuwa sintarudi hivyo nilimsihi asibiri kesho yake ndo tutajua vizuri kama nitalala nae au la.
Alikubali tukaondoka na rafiki yangu, na kwa kuwa ilikuwa usiku nilimsihi rafiki yangu anisindikize nyumbani ili wazazi wasiwe na maswali mengi juu ya kuchelewa kurudi.
Cha kushangaza baada tu ya kuachana jamaa alibadilisha mawazo kuwa anaondoka kesho yake kabla hata hatujapngea chochote kilichomleta Mbeya kisa nimemnyima mchezo.
sasa naomba ushauri; Je huyu ni mwanaume nzuri wa future kweli kama kasusa kisa kukosa mchezo ambao hata haukuwepo kwenye makubaliano yetu?
Je ,ananipenda kwa that?
Nini haswa kilichomkwaza hadi akasusa akaamua kuondoka kabla azma yake haijatimia?
Je nimfuate Dar tukayajenge huko????
ASANTENI IN ADVANCE KWA USHAURI