Msaada: Mpenzi hana siri

Msaada: Mpenzi hana siri

demu mwenzio huyoo.....pima oil kama hujakuta valve debwedo....
 
sijui shida ni nn...tukigombana ananichamba Yan napewa vichambo vya hatari[emoji30] [emoji30]



mchunguze vizuri,labda ana jinsia mbili...dume zima sio bure kuwa hovyoo kihivyo
 
Hulka hizo. Mi nishawahi kuwa nae,tena yeye mbea wa Instagram. Eti nasikia mange Kagombana na nani?Mara wema kafanyaje eti huko insta? Tz shaderoom sijui nini aisee nilimpa Kubwa moja tu,nikamwambia muulize mbea mwenzio Dada ko,sitaji kabisa unishirikishe umbea umbea wakl wa kijinga.

Alipunguza Mawasiliano,akaniacha kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kisa nilimwambia ukweli.
Hahaha
Hao ni wavulana shost!!!! Wanaume wa hivyo hakunaga
 
Kazi unayo!! maendeleo au mafanikio hayatangazwi. kama hupendi umbea usimsikilize anapokuwa anakuhadithi mambo ya marafiki zake, mkatize au mwambie hupendi hiyo tabia, hiyo ndio dawa ya kuharibu umbea.
Kama ni msikivu na mnapendana kweli basi atakusikiza, ila kama ni tabia yake wafwaaaa!!!

Kujua kutunza jambo au siri moyoni ni tabia ya mtu.
 
Sasa cha kufanya ni kukaa na kuongea nae kwa kina juu ya mustakabali wa maisha yenu ya kifamilia..Jaribu kila uwezavyo kumsihi asiwe mropokaji mropokaji...haifai..Msihi sana atunze siri...Sio kila kitu cha kusemasema ovyo
 
Back
Top Bottom