Msaada: Mpenzi hana siri

Msaada: Mpenzi hana siri

Pole sana, mwambie hupendi hiyo tabia yake kama kama huoni improvement yoyote ingia mitini. Ni tabia ambayo inaudhi sana kwenye mahusiano.

Habari za leo ndugu zangu,

Nimekua na mahusiano na mpenzi wangu mpya niliempata hivi karibuni lakini cha kushangaza hana siri yupo kiswahili sana kila kitu yeye ni kutangaza juzi kanunua kiwanja ametangaza mpaka kwa ndugu zangu. Mambo ya siri ya marafiki zake ananiambia mpaka namuogopa.

Ndugu zangu hii hali ni ya kawaida kweli?
 
Mmmh! Una redio mkuu!!! Mimi watu wa hivyo wananikera sana!!!
 
Lakini aya mambo ya kumweka wazi!kama unamuogopa kumwambia ukweli..utakuwa mpenzi wa vipi?
 
Mkanye bhana, mwanaume gani huyo ana chembe chembe za kike!!!
Hulka hizo. Mi nishawahi kuwa nae,tena yeye mbea wa Instagram. Eti nasikia mange Kagombana na nani?Mara wema kafanyaje eti huko insta? Tz shaderoom sijui nini aisee nilimpa Kubwa moja tu,nikamwambia muulize mbea mwenzio Dada ko,sitaji kabisa unishirikishe umbea umbea wakl wa kijinga.

Alipunguza Mawasiliano,akaniacha kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kisa nilimwambia ukweli.
 
akiwa msiri asipokuambia mambo yake unalalamika... amekuwa muwazivanakuambia kila kitu napo unalalamika..!!!!
sasa unataka afanyaje...!!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji1] [emoji38]
 
akiwa msiri asipokuambia mambo yake unalalamika... amekuwa muwazivanakuambia kila kitu napo unalalamika..!!!!
sasa unataka afanyaje...!!!!
tatizo mmbea sana mambo ya siri anaweka wazi halafu anaeza akasema siri ya rafiki yake akakuambia kabisa usije ukasema lakin[emoji38][emoji38][emoji38] tena unakuta mambo ya aibu ambayo alitakiwa kunyamaza huwa nashangaa sana
 
ila huyo jamaa nae kazidi... umempa nini kwani mpaka anakuwa roporopo hivyo..!!!!
 
Muonye si kila kitu ni cha kutangaza. Mwsnaume kuea na mdomo mrefu haipendezi kabisa..
 
Back
Top Bottom