Msaada: Modem ya 3data manager, nikiweka line inasema sim not supported

popo1986

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2014
Posts
1,120
Reaction score
373
Wana body salaaam, Leo nimeingia humu kuomba msaada Nina modem ambayo inanisumbua jinsi ya kutumia najaribu kuweka line lkn inasema sim not supported lkn ni universal anayefahamu naomba msaada
 
mrudishie huyo aliekuuzia na kukwambia ni universal
 
Haiwezekani kutumia tena mkuu
 
Hiyo Modem yako iko locked na three uk network. Kama kawaida yao hii company ya three product zao wakizilock si rahisi kwa mtu yeyote kuzi unlock mpaka wakufungulie wenyewe. Kwa hivyo hakuna suluhisho la rahisi isipokuwa uirejeshe ulipoinunua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…