kidi kudi
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,764
- 2,491
Salam nyingi kwenu wadau, kama kichwa cha thread kinavyojieleza. Natumia modem ya Tigo-Model:
E 153u-1.
Modem hii niliichakachua na kuanza kuitumia mitandao yote yapata mwaka sasa, tangu juzi nimehangaika nayo kuiweka kwenye PC kama kawaida lakini haisomeki tena. Tatizo litakua wapi,au ndo imesha-expire? Msaada wenu please.