Kwa mnaojua jinsi ya kuanza kuitumia Quick net software ya modem STC kwenye PC.

blue bahari

JF-Expert Member
Aug 21, 2016
597
500
Wakuu salamu!
Tafadhari naomba kusaidiwa jinsi ya kuanza kuitumia software ya Quick net ya modem ya STC. Mimi binafsi nimeweka hiyo software kwenye PC, tatizo ni kwamba nikichomeka modem hiyo ya STC ili nianze kuitumia kwa matumizi ya Internet kwenye PC, software yake haionyeshi sehemu ya kuunganisha/konect modem (iliyowekwa simcard) na PC for internet uses.
Kwa waliowahi au wanaotumia aina ya modem hii naomba msaada wa kuelewa ktk hili.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom