ANDROID LOST: Hiii sio 2 inakuonesha Droid yako ilipo on map, but also inakuonesha contacts za laini iliyomo(kamajamaa kabadili lain na kuweka ingine), kuipiga sim o ku2ma txt kwenda any # so unapata # iliomo kirahic(kama chip ilibadilishwa), unaweza record audio o video(cam ya mbele o ya nyuma huko sim ilipo so unapata view iko kwa hali gan), unaweza sound an alarm(kama umeifata kwa map afu unataka ujue ilipo unaipigisha alarm), unaweza m2mia msg alienayo(kwa txt au ukaiambia iusome ujumbe in English thnx 2 its speech engine), unaweza washa GPS hata kama imezimwa, asee kuna vi2 vingi sana ol u have 2 do ni kudownload ANDROID LOST afu unasign in ur Gmail acc in then basi inasepa, wew ukitaka kufanya hizo mambo zote unaenda kwenye site yao ANDROIDLOST.COM na sim inakua mkononi mwako, niliijaribu its amaizin