Msaada:Mnieleweshe kuhusu "Minimum Admission Points" Zilizowekwa na Chuo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada:Mnieleweshe kuhusu "Minimum Admission Points" Zilizowekwa na Chuo.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Msafiri Kasian, May 4, 2012.

 1. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Kuna baadhi ya watu wameniambia,zile minimum admission points ambazo kila chuo imejiwekea,hazizingatiwi sana na vyuo husika ikiwa vyuo hivyo havijapata watu wa kutosha kwenye kila programme.Je,kuna ukweli wowote hapa? Kwa mfano:kama chuo kinahitaji watu 100 kwenye program ya Bs in Education with Science,na minimum point ni 4.5,je,mimi nikiwa na minimum ya 2.5 ntachukuliwa ikiwa watu 90 tu ndio walioomba?? Natanguliza shukrani.
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Uwezekano huo upo,c unajua bongo hakuna lisilowezekana.
   
 3. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  who knows? i think that is what probability mean
   
 4. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2012
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,097
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  inawezekana kabisa kuna vitu vingi vinazingatiwa kwenye udahili wa wanafunzi wa elimu ya juu kumbuka hichi ktabu cha muongozo kimeandaliwa kabla ya matokeo ya kidato cha sita kwa hivyo basi kama kiwango cha ufaulu kitakuwa kidogo tofauti na muongozo wenyewe ni wazi itabidi washuke ili waweze kukidhi mahitaji ya kozi husika ili kufikia ile idai wanayo hitaji .. kuna kipindi tulizoea kwamba kuna kozi bila division one hupati ila mimi mwenyewe nimeshuhudia watu wakiingia kwa viwango vya chini ya div one ..
   
 5. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #5
  May 5, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Senetor "Wi-Fi"@"Maganga Mkweli" nashukuruni sana. Ila,vipi kuhusu matokeo ya mwaka huu,ufaulu umepanda au kushuka?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Baba Collin

  Baba Collin JF-Expert Member

  #6
  May 5, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 458
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kua makini wakati wa kuomba jitahdi sana kuweka kipaumbele kwa vile vyo ambavyo wanahitaji hzo point.kuna wenzako mwakajana waliambulia 2nd applicant na mkopo wakanyimwa.so wakati wa kujaza anza na vyuo vinavyoikubali hyo 2,5
   
 7. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #7
  May 5, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Poa,nashukuru.
   
 8. Persie

  Persie Senior Member

  #8
  May 5, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Na mm jaman coz nina points 2 lkn kuna course ya building economics ya chuo cha Ardhi na yenyewe inahitaji points 2 lkn inahitaji niwe na japo S ya Math's lkn nimeikosa bt o-level nna credit ya physics na Math's
   
 9. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #9
  May 5, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  umehairisha kukata rufaa au?
   
 10. Persie

  Persie Senior Member

  #10
  May 5, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  bado nna mpango huo lkn nataka nijaribu kuangalia na chanel zingine cunajua wanazingua
   
 11. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #11
  May 5, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Kwa nilivyo waelewa hawa waheshimiwa,unaweza kupata! Ila usichague vyote vilivyozd min.Yako.
   
 12. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #12
  May 5, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Vijana chuo hakuna ramani tena,tafuta pesa fanya biashara.Kama unabisha piga mahesabu udom,na mavyuo mengine watakuwa wametemwa kiasi gani.Jumlisha na sisi tuliopo kitaa
   
 13. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #13
  May 5, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Wingu,ni bora uende na uongeza na hyo elimu alafu ukija kitaa ndo ujiajiri mwenyewe!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. j

  josewatano Member

  #14
  May 7, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 15
  mkubwa vyuo vya leo bongo ni vingi bt abt sheria wapo makini sana hayo mambo yawanachukua sijui nini ilikuwa zamani wewe angalia kama unakizi vigezo omba kama huna tulia utapata usajili TCU ukifika chuo husika wanakukataa so power to you
   
Loading...