Hivi wenzangu mnawezaje kuishi na mtu mnafki? Yaan anajifanya yupo na upendo nawe afu kumbe anaumia ndani Kwa ndani.Mi huwa nikigundua huyu mtu siyo...anajitesa tu na kuforce maigizo ya kunipenda huwa namwignore daima...Yaan nampotezea jumla.
Siwezagi kupretend sioni wakati naona Kwa kweli....wote tu watu hai ya nini kurembeana mwandikoπ€
ππKumbe unamsema uparaπ€£π€£Hilo liupara hujaona?
Alafu lugha uliyotumia ni kama unamsema mtu wa hapa jf
Anha,nikajua nafanya ukatiliπ€
Upo kwenye mtanziko eti...?Hivi wenzangu mnawezaje kuishi na mtu mnafki? Yaan anajifanya yupo na upendo nawe afu kumbe anaumia ndani Kwa ndani.Mi huwa nikigundua huyu mtu siyo...anajitesa tu na kuforce maigizo ya kunipenda huwa namwignore daima...Yaan nampotezea jumla.
Siwezagi kupretend sioni wakati naona Kwa kweli....wote tu watu hai ya nini kurembeana mwandikoπ€
Yes madame πMoto Kwa motoπ€£π€£π€Έππ
Oooh maana nimeona kuignore mwandiko nikasema ohooooo kimeumana ππNoo,sijawahi kuwa na adui kivuli mkuuπ
Kwani mlishashiriki lile tendo?πππ«π«Hivi wenzangu mnawezaje kuishi na mtu mnafki? Yaan anajifanya yupo na upendo nawe afu kumbe anaumia ndani Kwa ndani.Mi huwa nikigundua huyu mtu siyo...anajitesa tu na kuforce maigizo ya kunipenda huwa namwignore daima...Yaan nampotezea jumla.
Siwezagi kupretend sioni wakati naona Kwa kweli....wote tu watu hai ya nini kurembeana mwandikoπ€