Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,365
- 12,351
Kusali peke yake haitoshi, inatiwa kuchukua hatua , kama mdau alivyo sema hapo juu , muhimu clean ya mwili na roho njia mbali mbali ambazo zinapatikana kama mimea,Ndugu yangu nasali lakini wapi...
Kazi na biashara..Kiuchumi kwa ujumla
Thank youNitakupa a generic answer sababu mada yako ipo hivyo pia.
Biz haina mambo ya imani either uchawi au Mungu ndo maana kuna watu wapagani wanatoboa na wengine waumini nao wanatoboa au kufeli.
Haya mambo ni kujua your strengths and weaknesses and work on them. Kila mtu anajua hali yake so mtu wa kukutoa hapo ulipo ni wewe mwenyewe.
Aidha just working hard won't cut it you ought to work smart as well.
Fuata principles/basics za biashara, soma soko lako vilivyo fanyia kazi.
Mwisho, one needs to know when to call it quits. Kuna mambo mengine yanadinda mwanzo mwisho haina sababu ya kuendelea kung'ang'ania na kupoteza rasilimali hapo, tafuta shughuli nyingine move on. Such is life.
For sure! Ukipigwa pipe stress zinapungua hapo sasa unaweza kufanya mambo yako kiufanisi zaidiKeep on praying, wakati wako waja...
Hujasema mambo gani Ila? Stress kila kona how?
Mfanowe me siku hizi Nina vihasira vya hapa na pale, kuna muda naona Kama sijielewi 😁 Ila najua 7bu. Kichupa kimejaa sana... Hebu check na huko kwanza u boost akili.
Ndugu yangu nasali lakini wapi...
Mungu anajibu kwa wakati uwa hawai wala hachelewi.Asante sana nimekuelewa
Habari zenu,
Ndugu zangu, mnaombaje kwa Mungu mpaka mnapata baraka tele. Mimi binafsi kila ninachogusa mambo hayaendi, stress kila corner mpaka kuna wakati unatamani ujiwaishe tu mbinguni.
I am working really hard and sitamani kukataa tamaa zaidi.Naombeni ushauri huwa mnafanyaje fanyaje mambo yenu yaende poa.
Asante.
Kwa Mungu ndio penyewe.Habari zenu,
Ndugu zangu, mnaombaje kwa Mungu mpaka mnapata baraka tele. Mimi binafsi kila ninachogusa mambo hayaendi, stress kila corner mpaka kuna wakati unatamani ujiwaishe tu mbinguni.
I am working really hard and sitamani kukataa tamaa zaidi.Naombeni ushauri huwa mnafanyaje fanyaje mambo yenu yaende poa.
Asante.
Katika maisha ya kiroho na kimwili wapoje? Tafakari mwenyewe!Kwa kiasi chake yes .
ushauri safi Sana Huuu.Wala siyo kwamba wengine wanapendelewa ila kwa neema tu
1. Jiepushe kuwa na marafiki wa kupiga soga. Kuwa na marafiki wa kwenye kutafuta kazi, kuangalia fursa. Mnapigiana simu, kuna kazi fulani twende tukafanye
2. Penda kuchangamana na watu ila wenye malengo hasa angalia waliokuzidi umri au umri sawa ila malengo ya kutoboa
3. Usipende kubagua kazi. Mfano mm huwa sichagui kazi ili mradi iwe halali. Anza hata kukaanga chapati uza
Kadri unavyozidi kupambana ndiyo Mungu anakufungulia baraka
4. Siri ambayo ni ngumu na rahisi kutoboa. Kuishi mbali na ndugu, huko hakuna msaada wowote zaidi ya kujipigania. Lazima upambane utoboe
5. Kupunguza matumizi yasiyo ya msingi
6. Nyumba hizi tunazokaa huwa zina neema au mikosi. Unaweza kuwa kwenye lkn kila unachofanya hakifanikiwi ila nyumba nyingine ukafanikiwa
7. Usichoke kumuomba Mungu siku zote.
Mimi hii ndio naikataaga. Yaani kosa afanye babu yangu huko nyuma kabla sijazaliwa afu me mtu mwingine nibebe msalaba hapana kwa kweli. Huucni uonevu wa hali ya juu. Imagine me nifanye kosa afu mwanangu aje apate shida kisa eti mimi kuwa ni baba ake yeye ndo iwe shida na mahangaiko kwake. Sijui hii imekaajeKwanza pole sana, pole sana kwa kuwa wewe unadhani wewe ndiye unayepitia changamoto ili hali binafsi nadhani si kweli!
Kuna watu wanapitia nyakati ngumu wala hawawezi kupata bando wakapost ulichofanikisha kupost hapa! Wewe unasmart na unaweza kuwa na bando, mshukuru Mungu!
Naomba nikwambie jambo, kuna usemi kuwa "makipo ni hapahapa duniani" au "apandacho mtu ndicho avunacho"!
Sasa, kuna watu wanapitia nyakati ngumu kwa kulipa matendo yao wenyewe ya nyuma, au ya wazazi ama wazee wake ambao walitenda yasiyofaa na wenyewe binafsi hawakukamilisha kulipa matendo hayo! Yaani kama utasadiki usemi wa malipo ni hapa hapa duniani, maana yake matendo yetu yote hulipwa hapahapa na matendo ya wema humlipa mtu wema vilevile, na ukitenda wema na hulipwi sawa sawa na wema wako, tambua upo katika orodha ya kulipa nakosa yaliyofanywa kwa generation yako hasa wazee wako hapo zamani na siku deni litakapoisha, taa ya kijani unakuwa upande wako!
Wengi tunapitia nyakati ngumu kwa matendo yetu ama ya wazee wetu magumu ya nyakati za nyuma! Tafakari na ubaini ukweli ktk hili nazungumza maana kanuni ni ile ile ukipanda uovu utavuna uovu pia, kama si wewe basi uzao wako! Na huo ndo msemo wa akipandacho mtu ndicho avunacho!
Endelea kutenda wema ipo siku utanufaika na wema huo lakini ikitokea hujanufaika wewe, basi uzao wako utanufaika na wema wako wa leo!
Tena niseme, hata uchukulie mambo kimasihara nisemayo haiondoi maana ya misemo hiyo niliyoitaja! Jiepushe na maisha ya kuigiza, ishi maisha yako halisi wala usidhani kufanya mambo kwa kujifika machoni pa watu kutakuepusha na matokeo ya matendo yako!
Samahani usinielewe vibaya, natamani uelewe binafsi kwa nini unapitia nyakati ngumu na uanze safari ya kusafisha mapito yako na ya uzao wako!
Pia yapo matendo yaliyokosewa na wazee wako ambayo deni lake kulipika ni ngumu sana, tunaita laana! Kuichomoa laana ni mtihani ila zipo njia za kuifuta na usipoifuta leo, itawaandama pia uzao wako! Ipo mimea ukielekezwa namna ya kuitumia huondoa na kufuta laana! Lakini kwanza tafakari, unadhani kwa nini unapitia nyakati ngumu!
Niyo mengi ya kukueleza lakini naomba nitoe rai kuwa, ukiguswa na haya nisemayo, uliza swali lolote nitakuelekeza cha kufanya ili twende pamoja!
Wapo kawaida tu..Mimi nimejitenga kiukweli cuz napitia wakati mgumu kidogo..Katika maisha ya kiroho na kimwili wapoje? Tafakari mwenyewe!
Kama upo mule mule basi shughuli ya kujichomoa ni pevu, kama ni vice versa shughuli ya kujichomoa ni simple! Karibu!
Kama unaarithi genetic Sasa utashindeaje kubeba mzigo wa roho za kaleMimi hii ndio naikataaga. Yaani kosa afanye babu yangu huko nyuma kabla sijazaliwa afu me mtu mwingine nibebe msalaba hapana kwa kweli. Huucni uonevu wa hali ya juu. Imagine me nifanye kosa afu mwanangu aje apate shida kisa eti mimi kuwa ni baba ake yeye ndo iwe shida na mahangaiko kwake. Sijui hii imekaaje
Me hapa naonaga wana dini wanatupiga.Kama unaarithi genetic Sasa utashindeaje kubeba mzigo wa roho za kale
Mimi hii ndio naikataaga. Yaani kosa afanye babu yangu huko nyuma kabla sijazaliwa afu me mtu mwingine nibebe msalaba hapana kwa kweli. Huucni uonevu wa hali ya juu. Imagine me nifanye kosa afu mwanangu aje apate shida kisa eti mimi kuwa ni baba ake yeye ndo iwe shida na mahangaiko kwake. Sijui hii imekaaje
Kama unaarithi genetic Sasa utashindeaje kubeba mzigo wa roho za kale
Ukitaka msaada usiwe na KIHEREHERE AU KIMDOMO KASUKU.. Wewe ni mkristo, bila shaka unafahamu Umuhimu wa Jina na Damu ya Yesu Kristo.Mimi mkristo.Ila msaada hauangalii dini