Ninatumia Tecno P5,ninapotuma ujumbe mfupi(SMS) kwa mtu zaidi ya mmoja unajibadili automatically kuwa MMS na ninapo-command kuutuma inagoma kwenda.Tatizo ni nini? Nimejaribu kuangalia settings mbalimbali za utumaji ujumbe lakini tatizo liko palepale.Naombeni msaada wenu wakuu.