Msaada: Mme wangu hapendi kuoga!

Msaada: Mme wangu hapendi kuoga!

pole mamiii

NIPE NAMBA ZAKE NIMUUNGANISHE NA DOCTOR MMOJA ANATIBU HUO UGONJWA
 
Kwani hukujua kabla hamjaoana? Au mlikutana barabarani mkafunga ndoa siku hiyohiyo?
 
Za leo wandungu,

I have just registered my self today and i want to start a topic but i have tried to check how i can do it nimeshindwa kwa kweli. Samahanini maana imenibidi nidandie humu humu.

Sijakuelewa. Mbona naona una posts zaidi ya 500 na profile yako inaonyesha umeshaanzisha threads nyingi tu.
 
ninakaa uswahilini so kwa mabafu haya ya kwetu huku haiwezekani kwanza bafu lenyewe dogo mtu mmoja tu hatoshi fresh!

Asa kwa hayo maelezo umeshindwa kupata jibu kwanini hapendi kuoga?
Changanya na zako.
 
Mume wake alimkamata anamtangaza jf akachezea kichapo ikawa mwisho wa kuonekana humu.
Huyu labda ana ID mpya au alishasepa siku nyingi maana kwenye ID hii last activity ilikuwa 23rd April 2009
 
  • Thanks
Reactions: BAK
mmmh mi ctak ntalambaje koni !huku kunakaharufu ka kukera? mh huyu anatafta mwanamke achepuke.unitie kinyaa unanuka ntapata wapi stim za dushe...

Hahahahaahaha aiseee you make me lough loudly; kulamba dushe tena khaa kwani mi mzungu ambao betri ziko chini anataka gari lisukumwe kwanza? Mi nkifika shambani tu jembe linalima bila kulambwa, chezea supu ya nyati wewe
 
ninakaa uswahilini so kwa mabafu haya ya kwetu huku haiwezekani kwanza bafu lenyewe dogo mtu mmoja tu hatoshi fresh!

Hiyo changamoto nyingne.at least mngekuwa na self contn ungewez mletea mdeko wa kubebwa wakat wa kwend kuoga, kises mpaka bafuni yan mngekuw mnaoga zaid ya mara 3 kwa cku..Kwa uwezo wang mdogo wa kufikiria fanyeni kazi kwa bidii zaidi then kama kupanga au kujenga mpate self, nahisi itasaidia.
 
Inategemea yupo mkoa gani, kama ni kigoma, kagera, arusha kuoga ni SAA nane mchana hii nitabia ya watu kutoka kule kufuatana na Hall ya hewa.
 
Dah... Wanaume bwana! Pia hii inakuwa ni issue ya mke. Ooh mbembeleze, oooh mwekee candles, mara mbebe mgongoni ukampeleke aoge, nenda na kisosi umshikie p.mb zisiguse chini looooh! How about get ur ass up go take a shower u stink...! You are a grown man, cant u even handle usafi wako wa mwili mpaka mkeo aumize kichwa?! Mfyuuuuuuuuuu...!
 
wakati wa hamjaoana kipindi cha uchumba au u bf na u gf hukuwa ume note hili tatizo?
Inawezekana anaogopa ku undergo skin erosion akawa kama ben kinyaiya
 
Back
Top Bottom